JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hello, Huku mtaani kila mdada ukimtongoza (98.9% of them) lazma aombe zawadi na usipotoa, papuchi hupati, tena na hiv makufuli alivositisha ajira kwa miezi 2, uwiii hali ndo imekuwa tete...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
*Mchungaji anaposema, tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu" alafu kwaya wanasimama wanaimba* _"Hakuna wa kufanana naye"_ Unashidwa elewa ni jinsi gani KWAYA HAWAPENDI UJINGA...
1 Reactions
5 Replies
660 Views
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Yani mzungu alipopanda ndege na mbongo walikaa sehemu moja kwenye kiti yule mzungu akamzaru sana mbongo basi mzungu akamwambia mbongo na tuulizane maswali wewe ukikosa jibu unanipa 500 na mimi...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
huu msemo wa sipendi ujinga mimi.. umetokea wapi...? jamani[emoji23]
5 Reactions
50 Replies
8K Views
wakuu salaam Mimi ni mpenzi wa vinywaji hivi viwili, maji na different cocktails kwa muda sasa nimekua mraibu wa vinywaji hivi hasa siku kama ya leo weekend inapoanza bas ni lazima nitoke nikae...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa habarini za kutwa. Uzi huu nimeunakili mahari flani kwa hiyo nautua kwenu ili kuwashirikisha nanyi mkune vichwa vyenu: Je; ungekuwa wewe ungefanyeje...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Nawaza tu kwa sauti; watafiti waliofanya kale ka-utafiti na kuja na majibu eti mmoja kati ya wanne ni kichaa! Huo utafiti umewapa kinga Hao watafiti au na wao wanahusika kwenye hiyo 1/4?! Tusije...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
*Tabia ambayo[emoji16]* *siipendi ni demu club[emoji134]* *anakata mauno weee ukimchukua mwende ndani sasa[emoji28]* *ukimgeuza utaskia oooooooh hiyo stail inaniumizaga unakausha [emoji6]*...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jukwaa salama! Naomba tushare experience kidogo kwanini baadhi yetu hatujalala usingizi muda huu instead tupo humu Jf. Kwa upande wangu ni msongo wa mawazo kwani kuna mambo yananiumiza...
0 Reactions
4 Replies
775 Views
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la...
6 Reactions
114 Replies
20K Views
wadau nakumbuka siku ya kwanza darasa la kwanza nilipewa sh 40 zote nlitumia kula sambusa maana vilikuwa vitu vigeni kwangu .....daah stasahau siku hiyo........vipi kwenu wakuu ilikuwaje siku hiyo?//
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimehangaika sana kutafuta mke na hiyo ilikua sababu kubwa kuniingiza humu ndani baada ya kushindwa kumpata mwanamke wa kuishi nami huko nje.nimetumia several gears kujaribu kuattract warembo...
10 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu... Nilikuwa MMU kule nasoma post ya jamaa kupewa utumbo na hawara yake. Baada ya kusoma comments za watu nikawa najiuliza swali ambalo mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kila...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Kama serikali jana ingempa PSG,ARSENAL,BARCELONA,ATLENTICO,MADRID NA BAYERNMUNICH halafu waweke Bilion 6 kwenye mkeka hakika leo wanafunzi wangepata mikopo tena ya 100% odd 3.54 x 6 billion = 21...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
...Upo kazini umeacha familia yako nyumbani mara ghafla unapigiwa simu kutazama unakutana na no ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na Sauti ya msichana ya kuvutia...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Ushawahi kukosana na jamaa lenye nguvu, linataka kukupiga, tena lina hasira hadi lina tetemeka, na wewe pia kwasababu ni mwanaume na hutaki kuonekana boya, inakubidi unajikaza pia, lakini moyoni...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
sio vizuri kula kula mahotelini au kwa mama ntilie.vyakula vya mtaani vinawekewa vitu vingi sana hii post ni mahususi kwa mabachelors tunaelekezana kitu cha kupika hapa kwa urahisi. kesho...
13 Reactions
175 Replies
9K Views
Maisha bhana *huwa nayo hayapendagi ujinga kabisa...!!!* mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku, ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza...
2 Reactions
1 Replies
888 Views
Back
Top Bottom