Masai mmoja alikuwa anasafiri kwa basi kutoka mkoa fulani kuelekea mkoa mwingine. Siku hiyo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuvaa chupi kitendo kilichomfanya awe anaionyesha onyesha sana kwa watu...
kiukweli kabsaaa binafsi yangu kati ya Rose Muhando na Bahati Bukuku
Mi namkubali sana Boni Mwaitege, kwa sababu Christina Shusho ana sauti nzuri sana na ndiomaana hata
Messi wakati anafunga...
*Nimekuja kumtembelea msela hapa! Nimemsubiri katoka nje nikaongeza maji ya ugali, sasa kumbe alikua kapima maji saizi ya unga wake. Saivi tupo hapa tunakunywa uji, hata hatuongeleshani*
1. Umelewa unaenda bafuni kukojoa kisha kwenye kioo unajiona sura yako na kusema "samahani sikujua kama kuna mtu " unatoka ili umsubiri amalize uingie.
2. Unarudi home uko mbwii unaanza tafuta...
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009
leo nalileta kwenu nitapata...
CHIZI ALIOZWA MKE... HARUSI YA
KUFANA MASHAALLAH...
SHAMRASHAMRA KAMA KAWAIDA
NDUGU JAMAA NA MARAFIKI......
HARUSI IKAISHA WATU
WAKAONDOKA KWENDA MAKWAO....
CHIZI AKAINGIA CHUMBANI MWAKE
AKAKUTA...
*The Perfect Man*
- wakes up at 5 am everyday
- exercises everyday
- makes his own bed
- cleans his room
- works sincerely
- does not touch alcohol
- helps in the kitchen
- does not indulge in...
Eti nimekutana na mapolisi wakaniuliza
"mbona unatembea usiku..?"
nikawajibu kwani usiku watu wanaogelea..!!
Sahivi nipo kwenye difenda i think wananipeleka home
sipendagi ujinga mimi
MUME MPENDA UGOMVI
Kila siku akirudi nyumbani hutafuta vijisababu visivyo na msingi.........
Siku hiyo mke akajitahidi kuweka mazingira safi.
Sebuleni pakafagiliwa kufutwa na kupangwa vizuri...
Demu mmoja wa kusoma alimwona kijana mmoja mzuri sana katika kituo cha daladala. Yule binti bila kuvunga akaamua kumfuata yule kaka ili amweleze hisia zake, “…wewe kaka ni mzuri, nimekupenda...
Peponi si Mchezo.!Utasikia watu, eti, watumie watu 10 utaingia peponi. Au mambo yako yatakuwa mazuri, hivi mnadhani Pepo mchezo!
Yohana mbatizaj aliishi hadi mapangon kwa kula asali na nzige...
Wanaume wa Dar vyakula vyao ni kama vya dada zetu yaani Chipsi Mayai Kwa Mishikaki au Kipande chakuku Halafu akitoka hapo anaenda kumtekenyatekenya manzi yake halafu nae anajiona kama bonge...