JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umerudi gheto mida ya saa mbili usiku unaingia ndani ghafla unamuona nyoka kanyanyua shingo juu anachezesha mkia na ki-ulimi kinatokatoka nje.... kwa ujasili unaamua kuchukua fimbo ili umuue...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo ndo siku yangu ya kuja duniani Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea mpaka nimefikia hapa nilipo Nashukuru kwa malezi yenu ya kiroho,kimwili na kiimani Ninawatakia na wote waliozaliwa leo...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani ukigundua nakuangalia tu unaanza kufanya makusudi kubana sauti ukiwa unaongea na wenzako,, Kingine ukigundua macho yangu yanaangalia sehemu ya chini ya mwili wako unakunja nne na magawuni...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
...baada ya kutoka kanisani basi tupo nje ya kanisani tunasalimiana na Mchungaji,kwa kuwa huwa sitoi sadaka ikabidi nifiche simu yangu ili mchungaji asiione maana ni ya gharama,kabla sijaiweka...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena. Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi. Katika futa futa si nimefuta...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Mie ndio nitakaye ishi naye daima Na milele. kwa hiyo maswala ya sijui hawe mzur awe na shepu...awe na mpododo...awe na mpwedede... Hasiwe flat screen awe na chogo... Hayo mambo ni ya kwetu...
0 Reactions
12 Replies
937 Views
Ay yo eyooo wassup bruh/Sis, RE: YO BOY IS APPLYN FOR SOME SHIT ASS HUSTLIN' AS AN ENGINEER Am a mutherfuckn dude aged 22. As a nigga, I gatta hustle hard u knw. So I wanna hustle ass out in yah...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau mimi naomba nigusie kidogo juu ya swala hili la vikoba..,black...,michezo kwa baadhi ya wanawake wasiojitambua... Mtoto wa kike utakuta anaenda kukopa black bila kumwambia mmewe huku...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upo sehemu unatembea kwa miguu, kati kati ya safari yako ukiwa huna hili wala lile unashtuliwa na Kofi moja zito la Uso mpaka unafumba macho, ile hujakaa sawa inakuja Ngumi ya pua.. unajaribu...
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Wasalaam wana Jambi! Katika tafakuri yangu nimepata "kajindoto" kua kama taifa timing yetu imekua ndivyosivyo! Yaani mtiririko wa maRaisi ungekua JKN-JPM-BWM-AHM-JMK ingalu hizi hoja za uchwara...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
WANAUME WOTE NI MBUZI... Nikamuuliza:- UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!?? Kani-Block...! Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!???? � *sipendagi ujnga mm* ��
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe...
5 Reactions
115 Replies
7K Views
Jana Nlikua napita mtaa Flani Ivi nikakutana na scenario,mama kamwagia mtoto wa miaka 4 maji Ya moto usoni kisa kaenda kidokoa Mboga kwa Jirani!!nlijawa na Hasira kama Yote nikataka nimrukie sema...
1 Reactions
7 Replies
758 Views
Naomba mnisaidie nataka ni update Marshmallow hios kwenye tecno c5 nifanyeje.
0 Reactions
6 Replies
751 Views
Ivi wandugu kutokana Na ma tatizo ya kukatika Umeme mala kwa Mala una Toka kwa mihangaiko yako umechoka mida km saa mbili ivi usiki una ingia geto ile una washa taa una muona nyoka...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Hello wana Chit - Chat Nilikuwa napiga story ofisini na mates wenzangu tulikuwa na story za namna ya kuimaliza weekend ya mwisho wa mwezi bila vishawishi vya kutumia pesa ovyo ndio ikaja topic...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamaniheeee, wimbo ni zendindi, zendi ndi.... unalia ndani ya mwendokasi, Dreva anauliza kituo, kabla hatuja fika magomeni kwa mbali wimbo wa KIOOO akadanganyi Mama, umejipam,ba umepambika, mara...
1 Reactions
5 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…