Wadau katika kiswahili, nambari ifuatayo inaandikwaje 11,000
Na hii nayo inaandikwaje katika kiswahili 10,001?
Tuchemshe bongo kidogo tupumzike na mambo ya siasa na mitafaruku ya CUF baraza Vs CUF...
..wakati unasoma kulikuwa na jina la mwalimu ambalo lilikuvutia sana,au hata kukuchekesha.Nakumbuka mwalimu wangu wa shule ya msingi alikuwa mzee tena wa kiume aliitwa "Mdemu" na mwingine O level...
We are going to have a pillow talk here.
Uongo kwenye Penzi la kweli...
Ni pillow talk tutaenda zaidi ya mada pia.
welcome and watch.
niko na 'Valentina'....
Mimi nakumbuka ikifika idd jana yake tumetoka kuchagua nguo enzi hizo nina raba zangu flan kampuni nike zilikuwa zinawaka taa, nakumbuka kwa upande wa dada zetu na mahousgel nao wanapaka wanja na...
Wakuu salaam sana,
Kwanini wanawake na maduu wengi kila ikikaribia mwisho wa mwezi ndio wao hupost picha za wapenzi wao?
Ina maana penzi hushamiri mwisho wa mwezi tu?
jaribu leo kumpigia simu msichana mida ya mchana au jioni afu akwambie anapika ,ukimuuliza anapika nini atasema wali samaki ,sijui kwa nini wanapenda hilo jibu hata kama hapiki au anapika chakula...
NI siku special oct 1
kwa wanasiasaa wameeiita ----UKUTA DAY
Kwa wanamazingira na wananchi tumeiita--SIKU YA KUPANDA MITI NCHI NZIMA
Wana michezo waoo wanaiiita DERBY YA SIMBA VS YANGA
Kwa wana...
Kama JF tungekuwa na kanisa letu! na huyu ndio mchungaji wetu akimwombea muumini wake! Unadhan mahudhurio yatakuwaje? Kila muumini angeruhusiwa kusali hivi na yoyote ibadani!
What up JF-MMU world...
So this is just for shout--outs.
If you feel like shouting-out somebody for whatever reason, then this is the place.
I'll lead the way by shouting-out all the cubicle...
Supu ya pweza imezidi kujiongezea wateja siku hadi siku, wauzaji wanaongezeka kila kukicha na wateja pia. Ukipipita mitaa mbali mbali mida ya jioni utaona kundi kubwa la watu ktk meza za pweza...
A man died...
When he realized it, he saw God coming closer with a suitcase in his hand.
Dialog between God and Dead Man:
God: *Alright son, it’s time to go*
Man: So soon? I had a lot of...
Mwanamke akikuta pesa kwenye mifuko ya suruali yako anazitoa kimya kimya na wala hatakwambia kitu.
Sasa akute umesahau kondomu kwenye mifuko ndio utajua kama umeoa kipaza sauti cha sokoni aua...
1. Barabara mchana magari usiku huwa soko.
2. Stendi mchana usiku huwa hotel i
3. Mhindi wa kuchoma hutiwa limau na pilipili.
4. Aliyesitiri mwili kwa mavazi huitwa mshamba mwenye maungo
nje...