*Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu*...
*Nikaamua kuvaa gloves*... *Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni*. [emoji57][emoji57][emoji57]
Hivi leo unapewa wasaha wa kuwa moderator utafanya nini?
Utabadili jina jukwaa lipi?
Utaongeza jukwaa lipi?
Nani lazima achezee BAN za kufa mtu?
Binafsi jukwaa la Siasa na Mapenzi na Urafiki...
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani au Msikitini ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*...
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani
akapiga simu kwenye radio station "naitwa
Juma nimepiga simu kutangaza kuwa
nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM
card na karatasi yenye PIN ya ATM card...
Research done. People born in;
*January-bold and alert
*February-lucky and loyal
*March-Naughty and genius
*April-strong and genius
*May-loving and practical
*June-romantic and curious...
Kutokana na tabia ya wanawake wengi kupinga vizinga bila kikomo, taasisi moja ya kijinsia imepiga marufuku uwepo wa wanawake kwenye usemi usemao
''To every successful man there is woman behind''...
*Umeshawai vuta bangi mpaka mama ako anakwambia kuna arusi ya auntie yako unamuuliza mwili unatolewa monchwari saa ngapi*
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Matumizi ya mitandao ya kijamii yamekua makubwa sana siku hizi hasa faceebook whatssap na insta.
Inatusaidia wengi sana hii mitandao hasa kibiashara, habari mbali mbali, burudani na mengine mengi...
BAHATI ILIOJE HII JAMANI.
××××××××××××××××××
Kuna siku nilikuwa maeneo ya Mjini kati
(City Center), nikaipenda suruali moja ya
shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo
ikabidi niende kutoa kwenye...
Kuchunguza simu ya mpenz wako ni sawa na
kumenya kitunguu.. hasa unapofika kwenye inbox
lazima udondoshe choz kama hauna moyo mgumu.
yan ukienda kwenye most used emoji ukikuta
yamejaa makopa kopa...
Katika kuperuzi peruzi wassup night kali mara nikaona ba mkwe yuko online.. Nitakaka nimwandikie, 'lala we', ila nimekosea nikamwandikia, 'FALA WE'?!
:)