Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao).
Kwanini uliamua kujiita A na sio B?!
Kwanini a jina feki na sio jina harisi...
Inasemekana Mwanadada Wema Abraham Sepetu ndiye Mkuu wa wilaya mpya ya Kigamboni.
Kada huyo kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi anatajwa kuwa Shughuli za Kuapishwa ziko mbioni kwani Taratibu...
Habarini mabestito wangu wa ukweli
Niliwamisijeeeeeeeeeeeeeeeeee?
nimewatamani ile mbaya kwani miezi sasa imepita sijawatia machoni mwenzetu kwa ubize wa vishughuli na ivijimambo vya kona ya...
sifa ya 1: aweze kulima heka 4 mwenyewe
sifa ya 2: awe ananyua nondo angalau mara mbili kwa siku
sifa ya 3: awe serious asicheke cheke
sifa ya 4: aweze kutumia 500 kwa siku mbl
sifa ya 5: awe na...
Sabakher Wadau; Kuna Kitu Ambacho Nakifikiria Daily! Yaan Namuomba Sana Mungu Nikija Kufa Nisije Kuzinduka Mochwari Usiku! Kwa Sababu Najua Nitachanganyikiwa Sana!! NAOMBA NIKIFA NIFE KWEL.
Wanabodi nimekuja hapa jioni hii kwa maana ya kutaka kujuzana hali ilivyo hivi sasa baada ya mvua kunyesha na vipi kuhusu mjini wa pembeni wa Matema Beach? Vp kwa sasa kuna fikika kwenda huko...
Tumepokea ma - moderator wapya watano, nadhani mnawaona kwenye staff members online.
Nimefurahia na ujio na staili wanayotumia. Mod 1, Mod 2, Mod 3, Mod 4 na Mod 5. Wacha wachape kazi
Nakumbuka wakati mwl Nyerere akihutubia juu ya Muungano alisema kinowachafanya watu kusema wao watanganyika sisi wazanzibari ni ubaguzi tu kuwabagua watanganyika lakini nje ya muungano hakuna...
Wadau wa JF,
Mchana wengi wenu mnakuwaga very active online ila usiku mnakuwa doro. Ni kwamba ikifika usiku mnakosa access ya internet au mnakuwa bize na shughuli zingine za kjamii?
Kama...
Unatumwa dukani kwa mangi ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1000/= hafu wewe unaamua kupitia sehem unanunua maandazi ya 100 ili ukanunue mafuta ya 900/=
Na ukafika wanakouza mafuta wamefunga...
IPO HIVI:
85% ya watu wote wanaotembeleana siku hizi atakapofika nyumbani/gheto kwako baada ya salamu lazima akuulize una Charger ya Simu hapo nistue simu
Ndivyo ilivyo kama huamini chunguza...
Wadau kuna hizi hotpot sjui za kichina nilinunua kwa watu wa promotion..sasa hizi hotpot zipo 3,hii ya tatu niile ndogo hapa leo nimepika mchuzi wa samki kwenye sufuria ndogo nashangaa samaki na...
Dada moja bwana alikuwa anajifanya anajua kuchukua waume wa watu. dada si akaingia kwa jamaa mmoja, wakawa wanapika na kupakua dada fulu kujiachia. akawa anatangaza sasa kwa marafiki zake kuwa...
Tarehe kama ya leo wazazi wangu walinileta kuanza safari ya ulimwenguni
Hadi hapa nilipofikia nina kila sababu ya kumshukuru muumba kwa kusema asante kwa yote aliyonitendea.....
Jamani hii hali ya hewa mvua na kibaridi team single tunateseka sana. Wale wenye wake zao ndo wakati wa kututambia huu utasikia kwanini hauoi?
Akyanani baridi linalonipiga nimeamua kutafuta mke.
Wasee niaje?
Ni juzi tu, nlipata wrong Mpesa cash kitu kama ngiri sabini (Kshs 70,000/=) nilitia mbidii nikawithdraw. By the after kitu kama two hours napata nangos mpya kwa tenje, huyo msee...