JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakati nasoma nilienda likizo kwa kaka yangu, na pale akawa yupo mdogo wa shemeji, yaani mke wa bro. Siku moja mwisho wa wiki waliondoka kwenda matembezi tukabaki nyumbani na mdogo wake shemeji...
1 Reactions
6 Replies
9K Views
Tuwasiliane tasavali Leo sijaja Kwa kificho niko Kwenye hiki kipub karibu na makaburi... Nimekaa pekeyangu nakunywa Malta nimevaaa kanzu nyeusi kilemba chekundu na makubadhi ya kahawia
4 Reactions
53 Replies
4K Views
1:Anaye weka majani ya chai kwenye sprite ili iwe cocacola. 2:Anaye fikiri mzungu ana kivuli cheupe. 3:Aliye mkimbia simba porini wakati alikuwa anaenda kujinyonga. 4:Aliye...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
TUZO ZA MWAKA JF ( TMJF) Vifuatavyo ni vipengele vitavyogombaniwa katika tuzo za watu mbalimbali NB: Kila memba ashiriki 1. tuzo ya mchekeshaji bora wa JF 2. tuzo ya mwanamke mrembo wa JF 3...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
MZEE moja alifika kijiji flani akakuta mtandao unashika vizuri. Akamwandikia mke wake sms aliyemwacha mjini. Bahati mbaya alikosea namba akatuma kimakosa kwa mtu mwengine ambaye ni mwanamke mfiwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijui tatizo Ni shule za siku hizi au somo la jiografia ndio limebadilika!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
3 Fs that every man should bear commitment to his love....should https://jamii.app/JFUserGuide her,FEED her,and FINANCE her....out of that,cheating is a must
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MTOTO: baba unaitwa shule. BABA: kuna nini? MTOTO: Sijui ww twende. BABA: haya hebu twende MWALIM: karibu mzee mwanao tumemuuliza Kampala iko wapi kashindwa kujibu BABA:kamgeukia mwanae...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Nikichoka napitia thread za ajabu ajabu......humu JF Basi nikakutana na ya Wanaume wa Dar.......Imechambuliwa weeeeeeeeeeeeeee Halafu wamechoka wameanza Wanaume wa Nairobi............. Najua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Ikatikea bahati mbaya katika pita pita zako maeneo fulani hatari,ukakumbana na kibaka akakukwapua kimkoba chako kina laptop na kama laki tano hivi. Kwakua umejaaliwa mbio,katika...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Bitoz
7 Reactions
194 Replies
10K Views
1. Atakua na simu yake mpo nyumbani dakika hiyo anakwambia umbip hajui kaiweka wapi. - Tuhurumie Baba 2. Ana Nguo zimejaa makabati mawili lakini hajui avae nini ukimwambia mtoke! - Baba, ni...
1 Reactions
4 Replies
719 Views
Wakuu, Leo ni birthday yangu Mungu kanijalia nimefikisha miaka 22. Happy birthday to me happy birthday to me happy birthday dear K 4 LIFE happy birthday to me. MAKE A WISH K 4 LIFE
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Unakumbuka ilikuaje? Unakumbuka ulivaaje?Je walikupokeaje? Nimeenda na ndugu yangu juzi alikaribishwa ukweni kwa mara ya kwanza....wiki nzima alikua restless,trying to do everything to impress...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ni muda mfupi uliopita television ya EATV katika sehemu yao inayojulikana kwa jina la Cheche mama mmoja na kijana mmoja wanafurahi kwa Wema Sepetu kuhama mtaa wao kwa madai alikuwa anawakera kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo naangalia BBC Swahili, Dira ya Dunia, kipindi ambacho nakipenda sana. Hawa Blue Band nadhani wana mkataba wa tangazo lao na Star Tv, napenda yule mama anavyokiendesha kile kibaiskeli cha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hi guys, Nimeona nilete swali hili kwenu wanajamvi. Hivi kati ya wanawake na wanaume ni kina nani wanaongoza kila kukicha kuwaacha wenzi wao? Nimekuwa naona malalamiko mengi hapa ya wanaume...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…