Mother, “How was school today,
Patrick?”
Patrick, “It was really great
mum! Today we made
explosives!”
Mother, “Ooh, they do very
fancy stuff with you these days.
And what will you do at school...
Jana wakati nakiandaa kwenda kanisani nadhani shetani alikuwa anataka kuniharibia upako wangu, nilimuacha mama yoyo akiwa kalala niko sebuleni nataka kutoka nje dada wa kazi akiwa ndani ya night...
Katika nchi ambazo zinatoa nafasi nyingi za kazi / ajira ni Sudan ya kusini na Somalia, na hazitoi tu nafasi za kazi bali hata kazi zake zenyewe nazo zina mshahara mkubwa na mnono lakini cha...
Ndugu wapendwa,
Naandaa mkutano wa wanaMMU, lengo ni kukutana kimwili (physically) kwa ajili ya kujamiana (kusocialize).
Naamini mkutano huo utatoa fursa ya kufahamiana, kubadilishana mawazo...
Ndugu zangu watanzania. Leo ningependa tujadili jambo muhimu sana kwa mustakbali wa nchi yetu. Haswa katika kipindi hiki cha hapa kazi tu.....
Leo ningependa tujadili kuhusu hiki kiungo muhimu...
Habari wanajamvi?
Kwanza awali ya yoote bibie Faiza, Asalaam aleikhum!
Kisha baada ya salam adhimu kwa ajili yako nimekaa nkajaribu kujiuliza..
Hivi kwa post na comment zako kwa thread za watu...
Yaani hizi tabia za kiswahili huwa zinastaajabisha sana km si kushangaza na kukereketa.
saa saba mchana mtu anakuja
Kukusalimia kwako mara anaanzisha stor kibao ili mda wa
Msosi ufike cha ajabu...
Habari za Asubuhi wadau, najua wengi mmeona au kusikiliza vyombo mbalimbali vya habari. Hebu tupia jina gani la mtangazaji ukilisikia basi unakuwa mwemereee! Kwa mfano mimi Yule jamaa, Sekioni...
Muda Si Mrefu Nilikuwa Natoka Kumtafuta ( Kwiyo Kwiyo ) Wangu a.k.a Kuku Vichakani Baada Kuniponyoka Na Kukimbia Na Wakati Namtafuta Porini Nimekutana Na Watoto Wadogo Kabisa WAKINGONOKA Huko...
Habari zenu wakuu,
Leo jioni nategemea kuwa na ugeni mzito kwangu,nimepanga niwatoe dinner kwenye moja ya hotel nzuri hapa Dar.
Binafsi nimefkiria Double tree by Hilton au Sea cliff, sina uzoefu...
Wakuu,
Jana nilipambana na nyati ana kwa ana pale Mikumi, nilikua Mikumi nabadili tairi la gari ghafla akanizukia ndipo pakatimka vumbi, nyati ni kifo usiombe uingie kwenye 18 zake, cha ajabu...
Sijui ni nani aliyeanzisha hii siku ya kipumbavu ya wapumbavu?,Kila kitu unaweza kuona ni upumbavu tu,uongo tu.Hata ukiletewa taarifa za mkeo anakucheat jua ni uongo tu,ni upumbavu tu.Ni siku ya...
Wakuu,
Bwana mi nimetoka zangu huko Mbagala mwisho, nimehamia Tabata, naomba nikiri kuwa, sijawahi kukutana na msichana mbaya, kila naepishana nae ni toto kali! Halafu kingine, hakuna mambo ya...
Habarini..
Jaman nchi hii inabidi hospitali za wagonjwa maalumu ziongezwe. Maana tunakoelekea sasa hapana kwa kweli.
Wakulima WANA-LAANI ardhi kuchukuliwa na wawekezaji. Jana wamewa-LAANI...