Yaani wanaume mnakera sana, yaani mnaomba number kila mtu, yaani unakutana na mtu online, kitu cha kwanza ni kuomba number.
Hivi hizo phone book si zimejaa number za watu wa online tu.Tamaa...
Salamu wakuu,
Hapa mtaani ninapoishi kuna kabinti nimekasotea sana kukatongoza mwisho wa siku kakanikubalia tuwe wapenzi, nikaanza kukomaa nako tukapatisha kama one week hivi kakaanza mara ooh...
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa...
Kuna jamaa mmoja mkoani Mwanza, alikamatwa kwa kosa la kuwa na silaha aina ya gobore kinyume cha sheria. Siku ya mahakama kabla ya kesi yake kuanza, kulikuwa na kesi nyingine ya wizi wa ng'ombe...
Siku hizi mitaa ya insta kumejaaa matangazo ya bidhaa za kuongeza makalio. Wenyewe wanakwambia mwezi tuu unapata mshepu wa kina Masogange.
Pia kuna mikanda inauzwa wanaiita booty lifter hii kazi...
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa.... mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja...
KUNA WATU MAKAUZU ila huyu ana Phd!!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.
Mshkaji kajikunja...
A teacher's letter to a parent:
"Dear Parent, Katongole, your son, doesn't smell nice in school. Kindly encourage him to take his bath."
Parent replies:
"Dear Teacher, Katongole is not a rose...
I attended a burial ceremony yesterday. The tradition there demands that at every burial ceremony, an old man who is "sangoma" must come out and tell the people who will die next. And so the...
Baada ya kujifanya mie kidume mtaani na kupiga baadhi ya mademu waliokuwa wananiletea shobo sasa naona bwimbwi linanishinda
Nilihamua kuachana na vishankupe hao baada ya my wife kugundua na...
Ushauri kwa wanaume...
Dear men,
1. Kuwa na wanawake wengi hakukufanyi uwe mwanaume halisi, bali inakufanya uwe mvulana na kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mvulana.
2. Mwanaume halisi anae...