WanaJF wengi wana avatar zinazowabainisha hapa Jamiiforums. Nyingi ya avatar hizi ni sura za watu, passport size.
Kinachonitokea kwangu ni kwamba nisomapo thread ya mtu, na mtu huyo ana avatar ya...
Jana, shemeji yenu aliniomba ruhusa aende na watoto wakasalimie kwa shosti yake mitaa fulani. Nikawaruhusu kwa roho nyeupe tuu, mimi mwenyewe sikuwa na mishe yoyote ila nikaona nibaki kwa sababu...
Ushauri kwa wanaume...
Dear men,
1. Kuwa na wanawake wengi hakukufanyi uwe mwanaume halisi, bali inakufanya uwe mvulana na kuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mvulana.
2. Mwanaume halisi anae...
Hakika Sina Cha Kumlipa Mwenyezi Mungu Zaidi Ya Kumwambia AKHSANTE Kwa Kunipa Miaka Yangu Hii Niliyonayo Huku Nikiwa Nipo Salama Kabisa Na Sina Tatizo Lolote Lile.
Pia Napenda Kuchukuwa Nafasi...
Kama unataka kuwa milionea badilika ufwate mfumo huu wa maisha
Ni furaha kila unapo pokea mshahara au ujira wowote baada ya kazi Fulani, lakini kila ukitazama idadi ya madeni yanayokusubiri...
Embu wadau tujuzane ....iam sick and tired of this napenda kuendesha my PVT car kuanzia spidi 100kmph kwenda juu... chini ya hapo naona gari kama haitembei ...can anyone help. ..wewe unawezaje...
Habari za asubuhi wana JF mimi nashukuru nmeteuliwa tena Na Mungu kuiona siku hii ya leo, lengo langu kujua wana JF wenzangu mmeteuliwa kuiona siku hii?'
Na r.i.p kwa wote wasioiona siku hii.
Mahitaji yenu yamesababisha mafuriko kwenye gym......
Vijana wapo busy kujenga miili ya mazoezi....
Vifaa vya mazoezi kama raba, vyuma, kamba sasa vinauzika....
Vijana wanakimbia na kupiga...
Madomo zege na watu wengine wa kawaida technolojia inazidi kuturahisishia mambo kila kukicha, sio katika maisha ya kawaida ya kila siku hadi kwenye utongozaji.
Nakumbuka zamani ulikuwa unatongoza...
Jamani tuwe wakweli tu, ndio kila mtu analo jambo ambalo akilikosa ndani ya kipindi fulani bac hawezi kuwa sawa mpaka akipate kwanza! Kwa kweli mimi ikipita siku sijaingia humu Jamii forum, ni...
Je mliwahi kujaribu kufanya mkate according to recipes nzuri lakini matokeo yako ni tofauti sana kulingana na zilizochapishwa mtandaoni? Picha hizo zitakuchekesha! Kama mnataka fuara zaidi
Kabla...
Bado unasema Kiswahili ni lugha nyepesi eti kwa
kuwa tunaelewana tu!!!? Tazama.......
KIINGEREZA------KISWAHILI
Device-------------Kitumi
Photocopier------Kinukuzi...
Duplicating Machine...
Am still trying to figure out what teachers in the primary schools we attended wanted from us.
When they caned u and u didn't cry, they would again cane u for not crying. When they caned u and u...