Hizi ndio Nchi 10 Duniani ambazo wanasema hazifahamiki, kwamba watu wengi wakiiona hii orodha ndio itakua mara yao ya kwanza kukutana nazo ;
1. Kyrgyzstan
2. Vanuatu
3. Kiribati
4. Luxembourg
5...
Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache...
Habari wakuu, maisha yana mjumuiko wa matukio mengi sana.
Kuna matukio ambayo wengi wetu tunapenda kuyasikia sana na hayatupi shida yeyote, haya ni matukio mazuri au habari njema mfano, kupata...
Nimelala nao na nalala nao kila siku.
Usijali, I'm not cheating on CheusiDawa na kiumbe mwingine.
Ni hivi, mie huwa nalala na mamilioni ya hivi viumbe wanaoishi kwenye kitanda changu.
Wanaitwa...
Hellow Guys!
Hope mnaendelea vizuri.
It’s “Ms Eyes” again.
Sorry naombeni ushauri ni kwa namna gani naweza kuongeza idadi ya watu as you all know dunia ya sasa hivi bila connections ni ngumu sana...
Mshamba ni nani?
Jibu : Mshamba ni mshamba.
Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba?
Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha...
Mwaka ndo huu una ishia, japo zime baki siku chache ila hakuna mwenye uhakika kwa asilimia 100 ata toboa 2024.
👉Sina mpango wa kukutisha, ila ni hulka yangu kuanza kwa mikogo na kumaliza kwa...
Habari zenu Wakuu,
Tokea nimejiunga JF leo ndio nimekuja kugundua kuwa uzi wa chai/uongo una nguvu na una wachangiaji wengi kuliko uzi wa ukweli.
Mara nyingi nimekuwa naandika nyuzi za ukweli...
WIFE: *Honey let's play a game*
HUSBAND: *Okay. What's the game about?*
WIFE: *If I mention a fruit, you run to the left side of the room and touch the wall & if I mention a colour, you run to...
Wakuu mambo vipi?
Kutokana na leo kujihisi kuchoka choka, inabidi nijaribu kutafuta kiwanja kizuri angalau siku ya kesho nami niweze kufufuka na bwana.
Nauliza kati ya hii miji; Dodoma, Mwanza...
Yaani Mashati yetu yenye Vifungo unayauza kwa Tsh 40,000/ halafu Wewe unachukua Tsh 38,500/ na Sisi Mazuzu wa Mafurikoni na Vyura wetu unatupa Tsh 1,500/ tu.
Nadhani bado hujatujua Sisi Mazuzu.
Hello guys, nimemaliza chuo hivi sasa niko huru
Haya leteni michapo ya mapenzi tupenzike kwa pamoja
Ila msiniporomoshee mitusi yenu, maana wanaume wa humu kwa gubu hamjambo😃
21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari
25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu
29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato
33 yrs...