JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakati mwingine watu hawaamini kuwa walikosea. Lakini hiyo haijalishi. Kuomba msamaha sio kukuthibitisha kwamba umekosea la hasha bali unajitetea mwenyewe. Usisubiri mtu akuombe msamaha na...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Leo mida ya saa nane kasoro ishirini usiku tumemkamata kibaka akiiba vitu kutoka katika gari yangu Harrier. Kwa hasira tukaanza kumpiga kwa mawe na matofali, kwa zaidi ya masaa mawili anapigika...
8 Reactions
76 Replies
11K Views
To cut the long story short akili yangu inaniambia rudi kucheza mzawa kwa huku kijijini nilipo. Na uchazaji wangu wa uzawa unanibadili fikra na personality kabisa. Mengine mtanisikia, baada ya...
2 Reactions
44 Replies
1K Views
Nina ujumbe wenu
1 Reactions
9 Replies
475 Views
Siku kama yeo mwaka 2017 niliingia rasimi katika mtandao wa JF imetimia miaka Sita kama mwana JF natoa shukrani kwa wana Jf wenzangu kwa michango yenu. Nimebadili sana maisha yangu mtazamo wangu...
2 Reactions
6 Replies
324 Views
Hello jf members Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa. Ila mimi naenda kimyakimya. Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience.
6 Reactions
10 Replies
624 Views
Ikiwa sasa unatumia saa 17 hadi 20 angani kwa ndege kusafiri umbali mrefu mataifa kwa mataifa! Ipo siku wataalam watafanikisha kupata njia nyepesi ya kuitembelea dunia kwa muda mfupi sana wa...
12 Reactions
104 Replies
4K Views
Unakuta kuna mtu una beef nae halafu humuwezi, so unaishia kuumia wewe. Kuna huyu jamaa sitoelezea chanzo cha bifu letu, ila roho inaniuma siwezi kumfanya chochote. Jamaa anafanya kazi...
20 Reactions
102 Replies
8K Views
My birthday is today. Leo ndio sikukuu yangu ya kuzaliwa, ninamshukuru Mungu kwa kunifikisha kuiona siku yangu ya leo ya kuzaliwa. Karibuni wote tupate kushereheke sikukuu yangu ya kuzaliwa.
14 Reactions
30 Replies
1K Views
Je, ni miaka 30, 50, 70, 100, 120 au miaka yote? Kwanini?
1 Reactions
27 Replies
926 Views
ni kinda langu rangi lenye rangi ya chungwa viungo vyake na mwendo vinanichosha ..nachoka kabisaaa nashindwa nyumbani kwao wamezingira ukali..nachoka kabisaaaaaaa
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Jf mpo? Kama mosi ni moja na pili ni mbili inakuwaje jumamosi na jumapili ziitwe siku za mwisho wa juma(week end)?
0 Reactions
2 Replies
228 Views
Nobody teaches volcanoes to erupt, Tsunami to arise, Hurricanes to sway around, Nobody teaches how to choose a wife Natural disaster just happen !!!!!!!!!!!
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Vijana wa hovyo...utawajua tu!!! Comment Emoji zako tano za mwisho....sio kwa ubaya lakini..kuna kitu Wenzako wanataka wajue Naanza mimi [emoji23][emoji125][emoji2957][emoji3][emoji512] Sent...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari wadau Msimu huu wa sikukuu za kuzaliwa bwana ningependa tujikumbushe nyimbo nzuri za kusikiliza na familia Mimi za kwangu ni hizi 1. The first Noel 2. Jingle bell rock 3. Hark the...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ladha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvu anajaza...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote Karibuni tujadili
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Pamoja na kwamba mapenzi ni raha na ngono ni tamu, ila realistically speaking haina faida yoyote kipesa, mpaka sasa ukweli ni kwamba ngono ni miyeyusho sana bora kwenye pombe kuna michongo ya...
10 Reactions
18 Replies
921 Views
We piga kazi nenda zako home. Kula zako Kangala changanya na Ambiace. Lala fofofo Asubuhi piga kimoja cha burudani, oga nenda kapige kazi.
1 Reactions
2 Replies
409 Views
Back
Top Bottom