Wasukuma, Wapemba ,Wangoni, Wanyaki, Wakurya,Wanyiramba,na Wahaya ndo Kabila zinaongoza kwa kuwa na viongozi wengi Serikalini kwa sasa. Nipe maoni yako, Je, sababu ni nini?
Hakika baada ya mji wote kuteswa na kunyanyaswa na DANGOTE Kijana aliyezaliwa mwaka 2005
Nachelea kusema Wanawake na Wanaume wa ARUSHA wote ni ma ZUCHU tu
Yule mtoto alikuwa sio wa kusumbua...
Kuna mda mafanikio yanahitaji Fikra tofauti, na fikra au mawazo ya kawaida kabisa ya watu wengi juu ya jambo au maamuzi fulani. Ndio maana hii leo kuna watu wanatafakari nakutenda kitofauti lengo...
Wanawake wenye muonekano wa kawaida huwa wanaingia kwenye ndoa na zinadumu sana sijui kwa nini, Angalia hata wake za marais hawanaga mambo mengi , hawa maslayqueen sijui wana tatizo gani[emoji3]...
After the President of the United Republic of Tanzania, his Excellence Jakaya Mrisho Kikwete failing to execute power in his highness, we hereby announce an open auction which will be held in Dar...
Baniani mmoja alikuwa jela na sanamu wake wa kuabudu;kila siku akawa ana iabudu na
kuiomba atoke jela. Kwenye chumba hicho hicho kulikuwa na muislam naye akawa anasali na kumuomba
mungu atoke...
Ndugu zangu hii hali ya lugha ya malkia mbona inanchanganya sana.
Unakuta kwenye interview msahiliwa msomi kabisa, ata introduction tu, jasho inatoka na mpaka sauti inapotea kabisa, na haitoki...
...Mbona ghafla kumekuwa Kimya ? Mshahara umeingia ? Mbona hatuambiani...Kwa Jinsi Ile Ile tulivyokuwa tukilalamika ? Vipi, Mambo yamekuwa Supa na Kila Mtu Yuko Bize kula Kasungura Lake ...
Kwanza kabisa nashukuru Mungu kwa kuendelea kunipa zawadi hii ya uhai maana Sina cha kumlipa zaid ya maombi na Sala kwake🙏🙏
✍️Kama Uzi unavyojieleza kama WWE ni mmoja wapo umezaliwa tarehe kama...
Wana JF mambo niaje,
Mimi nauliza eti katika haya maisha bila kuwa na SHOBO na watu hauwezi ukapata washikaji wala mademu? Au hata mchongo wowote ule?
Mimi binafsi sinaga Shobo na watu ila...
Hakikisha una uhakika na ushuhuda wenyewe, kwamba:
1. Umekutokea wewe binafsi,
Au
2. Umeushuhudia kwa mtu mwingine,
Au
3. Umesimuliwa na mtu ambaye unaamini hakukuongopea.
Karibu🙏🙏🙏
Kwa mfano binafsi sina hata follower mmoja hapa jamiiforums kama ilivyo kwa wenye wivu, chuki na roho mbaya wenzangu Dabil na Charles kilian ila nimetoka kufunya Uchunguzi wangu wa kimya kimya na...
Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kwa kujipongeza kufika mwaka mwingine tena.
Nawashukuru wazazi wangu walionileta duniani huko waliko waendelee kupumzika kwa amani.
Namshukuru Mungu mwingi...
Nikiwa naelekea kuadhimisha kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa, leo mimi Madame B niko online muda huu hapa MMU.
Naomba uniulize swali lolote kunihusu mimi,
Iwe ni:
Masuala ya Mahusiano,
Masuala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.