JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna mdau huku kauliza kama Tanzania tuna submarine[nyambizi], napenda kumjulisha kwamba tunazo za kutosha, pale ziwa victoria tuna sangara, sato, mba na dagaa wa kutosha, ukienda bahari ya hindi...
3 Reactions
8 Replies
328 Views
Marshmello's 5 Favorite Latin Things | Billboard "Thriller" lyrics Michael Jackson Lyrics Follow Michael Jackson on Bandsintown "Thriller" [Michael Jackson:] It's close to midnight and...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Mambo vip? Hakika tembea uone, Siku moja mshakaji wangu ile ile aliniambia kuna rafki ake alikua akifanya nae biashara kkoo amemuunganisha na mtaalam kutoka shinyanga huku ambaye ni hatari...
0 Reactions
1 Replies
283 Views
Otikii🤣😁😁
4 Reactions
15 Replies
522 Views
Leo nimekumbuka kitu nikacheka sana. Wakati Niko Std 7 nilikuwa na mahusiano ya kitoto na sista du mmoja hivi tulikuwa tunasoma darasa Moja. Sasa communication yetu ilikuwa kuandika barua halafu...
3 Reactions
78 Replies
3K Views
Hawa TMA kwa kweli hawakukosea Leo nimechapwa na mvua Moja pande za kisongo airport mpaka nikaficha simu yangu sehemu za siri. Ni mara ya kwanza nime experience kichapo Cha mvua namshukuru Mungu...
15 Reactions
40 Replies
2K Views
ELERAI MAJENGO ARUSHA :- Hapo panaitwa Majengo. Ni moja kati ya mitaa inayopatikana jijini Arusha. Kuna; Majengo ya Juu:-Temboni, Sacon, Mwisho wa Kidala, Shuma, Azimio (Hapa ndo pale azimio la...
8 Reactions
38 Replies
3K Views
Wana jamiiforums nawafananisha na wachungaji ambao muda wote reference yao ni matukio ambayo wamewahi kukabiliana nayo na kuyashinda na matukio hayo hujirudirudia. Wanajamiiforums wengi...
5 Reactions
25 Replies
801 Views
Sikili mimi maskini, Uvivu wangu nyumbani, Ukiwa huu njiani, Nakufa hapa kwa nini? Sadiki sasa ashiba, Chakula kingi kwa baba, Nirudi tena kwa baba, Nakufa hapa kwa nini...
7 Reactions
40 Replies
20K Views
Nimekaa nimefikilia kunavitu huwa nachanganya kati ya USHAMBA na ULIMBUKENI naombeni wakuu mnipe maana hizo kwa mifano, nasema Ivo kwa sababu kuna manzi mmoja tulikuwa na appointment tutoke twende...
1 Reactions
12 Replies
567 Views
1. Watu hukaa na kuanza kuongelea wengine (umbea) ili wao wajione superior kwa wengine meaning they are better than them which is not true. Maana hawana namna nyingine ya kujiona they are better...
2 Reactions
11 Replies
397 Views
Karibuni tukutane hapa. Kuna nyimbo tulikuwa tukiimba. Hamisi nyalo tunakuaga toka darajani...jamani eerhh
2 Reactions
5 Replies
492 Views
Yaani nna hasira mbaya mpaka nimesahau kuwasalimuni.... kuna mtu natamani nimrestishe in Piis..... Lakini kuna ushauri nimepewa na washkaji zangu kuwa leo nitoke na mmoja kati ya mawaifu zangu...
16 Reactions
389 Replies
23K Views
Ninaye rafiki hapa jamvini ambaye sijawahi kuonana naye wala kusikia sauti yake lakini tunawasiliana kupitia PM. Ninamtakia heri ya kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. Naamini kwa wema wa Mungu...
25 Reactions
273 Replies
7K Views
Nawatafuta watu kutoka familia ya Ukoo wa Mkombe kutoka Lupatingatinga, Chunya... Kama mpo humu ndani please inbox me au comment hapa. With much thanks in advance
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mwaka huo unakwisha, kama ilivyo Kila mwaka unavituko vyake. Kama sio kwa wanasiasa basi ni kwa watu maarufu huko duniani. Pia kama sio kwa Simba na Yanga basi ni kwa watu wa...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Umeonekana umati wa wana CCM kote kanda ya ziwa. Bila shaka itakuwa furaha kubwa kutowatenga wa Gamboshi.
1 Reactions
5 Replies
387 Views
Miezi minne iliyopita kuna mzee aliondoka hapa kijiji cha masakata wilayani tunduru kuelekea jijini dar es salaam 'jiji la maraha. kwenda kushughulikia miamala ya pesa zake za mafao baada ya...
19 Reactions
55 Replies
2K Views
Hello guys za jioni. Niko samaki samaki nowz karibuni tujumuike. Naomba mnitajie Memba wako wa Tatu bora katika mwaka 2023. Kwa upande wangu mie ni. 1. Mshana Jr 2. Mpwayungu Village 3...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom