Elon Musk anaendelea na tafiti zake za kisayansi na masuala mazima ya AI. (Artificial Intelligence) Sasa anajaribu kupandikiza Ubongo kwa Binadamu ambao utaunganishwa na Computer.
Ushauri wangu...
Mimi nakumbuka hapa niliwahi kupeleka mzazi feki shule halafu akanipiga kofi.[emoji23][emoji23]
Nilishapigana na Mwalimu tukigombania bint mmoja hivi cheupe wee alinimaindi mpaka namaliza...
Nimekuwekea list ya watu maarufu kuanzia mwaka 2025 na kuendelea Tunatarajia kuzunguka kwao kote watakuja kuishia kwenye siasa kuanzia UDC au hata Ubunge.
Ni kama wafuatao.
1. LADY JAYDEE
2...
"The older I get, the more love I have toward people."
I have 26 yrs but I'm no longer materialistic driven
The older I get the more thankful i feel for life i had and life I'm living still
jamaa flani alienda kwenye kibanda cha mama ntilie akaagizia chipsi na mayai.
mama ntilie wakati anamuekea akamuuliza"vipi nizichanganye???"
jamaa kwa kujifanya anajua kiingereza akajibu"YEAH...
Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje.
Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na...
Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako.
Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha.
Hakikisha katika...
Hivi how is it possible; watu asubui asubui mnaamukia mitandao ya jamii hivi hamna mishe? At least watu watiririke humu kuanzia sa saba mchana hivi, it will make makes sense. Otherwise it's...
Ilikuwa ni harusi huko kijijini kwetu ule muda wa kula kukawa chakula hakijatosha hivo wale watu wa mwishoni nikiwemo na mimi tulikosa.
Kaka yangu yeye alikuwa kwenye kamati ya ugawaji hivho...
KIKAO CHA WANAUME.
Kikao cha wanaume kimeisha salama jana.
Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya.
Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha...
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa Uhai na Afya tele kuuona mwezi mpya, nakuombea kwa Mungu Mwezi huu wa 11 ukawe ni mwezi wa Baraka tele.
Yalioshindikana kuyafanikisha ukafanikishe, akupe Kibali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.