Jioni ya jana nikiwa mitaa ya Mugabe nikamkuta mdada flani mweupeee kapata tatizo la pancha kwenye IST yake. Akaomba msaada, nikamsaidia kubadilisha tairi, kutokana na manukato (si shepu)...
My very sweetest girlie cute b,
On this special day, a very beautiful, amazing and precious soul was born,
Babes, I think I got million things to tell you, I know thach we've made a lot of...
Ndugu wana Jf sipo hapa kukashifu wanawake wenye mashepu yao na walio jaliwa vichuguu ila nipo hapa kujua ni kwanini wanawake waliofungasha akili zao hazina akili.
Naya sema haya baada ya kuwa na...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kutoa appreciation ni jambo zuri hususa kwa yule mtu ambae amejitolea kutoa simulizi bila ya malipo yoyote lengo tujifunze, tuburudike, tuonyeke na vinginevyo
Haya...
Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza...
Habari zenu wana Jf wote natumaini hamjambo .
Tarehe kama ya leo ilikua mwaka 2017 nilijiunga rasmi katika mtandao huu pendwa wa Jf.Mara ya kwanza kuijua Jf ilikua gugo wakati natafuta content...
Mara kadhaa nimekuwa nikilisikia hili "watoto wa mjini" ama "Born town".
Jambo ambalo limenifanya nitake kujua kuhusu wao ni kina nani na wanajishughulisha na nini...??
Fikra zangu kuhusu wao...
Mara nyingi nimekuwa nikifatila uzi za hapa JF kuona kile kinachoendelea lakini nimegundua kuwa kuna uzi zinasomwa Sana hapa nakupata comments kubao.
Pia nimegundua mara nyingi uzi hizo nizile...
Imagine sasa hivi ni saa 10 alfajiri, hakuna hata mishe mishe za bodaboda huko nje, yaani mji umetulia tuliii tofauti na mikoa mingine kama Dar, Arusha na Mwanza.
Jamani mimi sio perfect kwenye maisha yangu wala sijasoma pyscholojia ila kwasababu yenu na upendo wenu kwangu... na upend wangu kwenu ...nimeona tusaidiane kwa kadiri ya uwezo wangu na...
Am the Ghost writer and It's very honorable to be back again ndani ya jamiiforum. Am so glad to say I love jf and I love people who have been there for me.
My name is Ghost, Nilijiunga na JF...
Leo kuna fainali ya UEFA EUROP nipo hapa jijini Arusha kwa mapumziko mafupi kesho narudi jiji la madereva... Kama kuna mkuu yoyote yupo hapa mjini kati maeneo ya Picnic aje tuchek wote gem ya...
Habari ndugu zangu,
Hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kamwe usimuache elimu aende zake. Huo ni msemo ambao ulikuwa una-sound mara kwa mara akilini mwangu. Kwa kifupi, mimi ni mwanaume wa...
Hellow members,leo jioni angu haijawa powa sana baada ya kufukuzwa na mwanamama mmoja mmiliki wa duka la viungo pale kariakoo akidai kuwa mimi namchunguza.
Ilikuwa hivi mida ya saa saba mchana...
Habari wakuu,nimeona bora tuanzishe Uzi huu wa kupost majina mapya ya watoto wa kike na kiume yaani hadi nick name hapa
Naamini huu Uzi huenda ukawasaidia watu wanaotafuta majina ya watoto
Haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.