JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa wale waliokuwa wakiishi Dar miaka ya 80 mnakumbuka mwaka 1987 kuna jamaa na kati ya Buguruni aliyegeuka kuwa chatu? Hii stori ilibamba sana kipindi hicho.
1 Reactions
104 Replies
11K Views
1. Pesa : hela, mavumba, mshiko, sabuni ya roho, mkwanja, maokoto, kibunda, vyuma .... 2. Uke: papuchi, kipochi manyoya, kitumbua, sambusa, bibi, mfereji maringo .... 3. Uume: Abdallah kichwa...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
  • Closed
Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!.. Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe...
29 Reactions
2K Replies
52K Views
Na usiombe ufakamie Supu ya Bure itokanayo na Ng'ombe wa Uwizi na waliokuwa na Utapiamlo. Mtakula sana Flygil na Antibiotic!!!!!
1 Reactions
6 Replies
570 Views
Nikiwa kama Mtanzania na mzalendo niseme tuu hizi ndio burudani zetu watanzania wengi, na endapo ukaona burudani yako haipo hapo una haki ya kuiongeza kwenye comment, Ready to Go 1. Kusafiri...
0 Reactions
3 Replies
392 Views
Unampigia simu, hapokei. Unatuma ujumbe wa maandishi, hajibu Hii inamaanisha nini wakuu?
10 Reactions
112 Replies
4K Views
Jioni hivi nikawa nazubaa zubaa mtaani kusafisha macho. Nitaenda kupiga stori kwenye kijiwe jirani cha boda. Nikiwa nimebaki mwenyewe kwa mbali barabarani ikapita pisi moja matata imefungasha. Ni...
3 Reactions
4 Replies
355 Views
Nipo na machalii yangu fulani hivi hapa tunaelekea ofisini. Moja ya mazungumzo NI Kwanini wanaume mnachepuka Chalii 1: Kama mke wa fulani yaani ni mzuri, anaupendo, ana huruma, mcheshi...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila...
54 Reactions
182 Replies
18K Views
Wana JF, Kwa heshima yote mie binti mzuri mdada nilijiunga JF leo. Naomba nitoe mchango wangu kwa kutambua uwepo wa wanaume wanaongoza kuwa na mvuto na ushawishi humu ndani ambao ni GENTAMYCINE...
17 Reactions
199 Replies
7K Views
Me natamani kukutana na smart911, kichwa kichafu na mdada mmoja hivi ila nimemsahau jina nikimkumbuka namtaja Sasa hivi.
7 Reactions
285 Replies
13K Views
Leo kwenye mzungumzo yangu nilikua naongea na mtu sasa kuna mda nilikua naongea utani akawa anacheka mwisho akaguna akaniuliza ivi ww ni wa rangi gani? Nikamjibu kwa nini, akaniambia nimwambie tu...
0 Reactions
9 Replies
931 Views
Kuna vitu mama anataka kuforce ila kafikia hatua mbaya, napanga kumshtaki kwa wajomba zangu
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa tajwa, Pamoja na kuwa hatuwezi kujuana kwa kwa majina wala sura zetu. Ila katika kuandika kwetu mambo mbalimbali au hoja mbalimbali Kuna uwezekano wa mtu akajua...
21 Reactions
671 Replies
16K Views
Maisha ya binadamu yana njia nying sana ya kumtoa kimaisha.Tunapaswa kujua ni wapi pakutokea na sio kukalili tu mafundisho ya wazazi kuwa soma mwanangu kwa bidii upate alama za juu uwe wa kwanza...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
gharama za maisha zimepanda , kiasi cha kwamba tunaondelea kuishi kwenye mzunguko ule ule tunaishi maisha Magumu sana nimejaribu...
3 Reactions
5 Replies
913 Views
Nimeagiza mzigo wa raba online,huko mashariki ya mbali, . Box ndio limekuja na LOGO ya kushangaza👆, Japo raba iko Njema na haina hio LOGO 👆 ya ajabu. Sasa sijui hawa wachina wamefanya makusudi...
12 Reactions
23 Replies
767 Views
Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Back
Top Bottom