Namshukuru Mungu kwa kunipa baraka ya kuuona mwaka mwingine sio rahisi kwa kweli uzee ulee nauchungulia
Nyani mzee kakwepa mishale mingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Happy birthday kwangu mshangazi...
Mtu asiruhusiwe kuvuka zebra au mataa bila kuwa na leseni ya udereva ya walau class P (pedestrian), atakayekiuka apigwe faini/ notification ya 30,000/= kama magari, asipolipa ndani ya siku saba...
Kuna mchizi flani alikuwepo humu JF mwaka juzi(2021) alikuwa ananifurahisha sana aisee.
Kwa siku alikuwa anaweza kuanzisha thread hata tano, alaf zote za zinachekesha.
Sasa kuna siku moja bhana...
Yaani kila nikiingia jf nakuta no updates, au update chache,
Lakini cha kushangaza kuna watu sio mods ila mda wowote ukiwatag tu wanakuja.
Wakuu labda sijajua jinsi ya kuitumia jf, maana taarifa...
Nimetafuta hela juani, siku nyingine vumbini, mara nyingine ni kwenye mvua au porini nalala na fisi.
Sasa nakuja mjini kuchukua hela mara moja, kwa nini nisiingie saloon spa kufanya scrub...
Ukiniletea picha ya Kunguru wanaojaamiana (Mating Ravens) nainunua kwa Tshs.3ml. Kuna sehemu naipeleka ughaibuni.
Vigezo na Masharti:-
Inatakiwa picha uliyopiga mwenyewe isiyo na copyright ya...
Kwanini watu wa Dar, huwa hawataki kujua yanayoendelea mikoani?
Lakini wa mikoani kila wakati wanafatilia ya Dar tu.
Maadimin wa JF Wapo Dar,
ITV, Wasafi, TBC n.k zipo Dar
Melo yupo Dar,
Vyuo...
Jioni ya leo ntakuwa kwenye moja ya meza pale nikizungukwa na watoto wazuri tukila maisha.
Wale chawa wangu mnakaribishwa ila sitajitambulisha, nyie angalieni tu sura za ki boss hazifichiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.