Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website
Kama ni App utujuze ni old version au Latest version
Binafsi natumia Old Version ya...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nilipwe Milioni 1 yangu,Tofauti na hapo utaula wa chuya!
Watanzania tuko milioni 60,kwanini serikali isilitulipe kila mtanzania milioni 1 kila mwezi?,Mbona ni hela...
Hivi wale ma papaa na mapedezhee waliokuwa wakitajwa kwenye nyimbo za wacongo wameishia wapi? Kipindi hicho (awamu ya 4) kulikuwa na club nyingi sana zenye live band na wasanii maarufu wa muziki...
I place the end of my brush in the middle of the nail, a few millimeters from the cuticle (look at the light blue line, that's roughly where I place the brush). I push/wiggle the brush right...
Samaleko,
Basi bwana, miaka kadhaa nyuma nilikuwa na Id yangu xxxx, haikuwa Maarufu hata kidogo, nilikuwa napenda kumchangia kidogo kwenye Jukwaa la siasa, intelligence na international news na...
1. Hakikisheni mmewahi / mnawahi Kazini Kwenu na ikibidi fanyeni hata zile Kazi ambazo unajua siyo zako
2. Kiwango chako cha Nidhamu Kazini leo kiwe ni cha maradufu
3. Hata kama huwa una Utani...
Oya washkaji uzi gani una comments/replies nyingi?
Kwenye pitapita zangu, nimeona ule Uzi wa Manchester United una replies kama 190k hv na wa arsenal una 140k approx.
Uzi wa "Mikeka"(betting)...
Habari wanajf
The fact kwamba jf watu wengi ni anonymous, inawafanya wanatumia majina ya ajabu sana.
Kuna majina jf ukiyasoma unaweza cheka, kushangaa au kufikiria sana,
Pongezi kwa wanajf...
Wimbo wenyewe ni ule usemao....Amerudi analia eeeeeehhh....Huruma....eeeeehh....Huruma......
Kuna nini labda Kimejitokeza Tanzania kwa leo ili nami nijue / nikijue?
Kudadadeki.......Kimya leo...
Ilikuwa 2000 hiyo. Nimetoka shule kama kawaida, baada ya kubadilisha tu sare na kupata msosi, nikaelekea kijiweni tulikokuwa tunacheza mpira kukiwakilisha kitaa timu yetu ya mtaa. Hapo tulikuwa na...
Wakuu Gentamycine yuko wapi? Mbona simuoni? Thread zake mbona kimya na Gentamycine wala hata simuoni shida ni nini? Please moderator mwachieni Gentamycine aisee tuzione thread zake humu jukwaani...
Naona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi...
Wakuu, kwa wale ambao mlishatembelea fukwe za ununio aisee ni nzuri balaa kuna lounge za kibabe sana maeneo yale natarajia hii game ya Arsenal na Manchester city niende kuitazama katika fukwe...
Ilikuwa ni alhamisi wiki iliyopita nikiwa Mbeya uyole niliona kitu cha kushangaza. Leo nawaletea hapa.
Siku hiyo nikiwa stend uyole mbeya nikisubiri gari za kwenda Dar maarufu "hakuna kulala"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.