Salaam, twende kwenye mada,
Ukiwa kama mwanaume hutakiwi kufanya haya;
1. Kutokuwa na pesa wala kazi yoyote ya kukuingizia kipato.
2. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja wakati huna kipato kikubwa...
Nimejaribu kucheki baadhi ya members wengi wao tumechelewa sana kujoin JF japokuwa tulikuwa watumiaji tokea kitambo, kitu kinachonifanya nijutie kweli maana JF inaniumbua kama member mpya yani...
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.
Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo...
Habari za wakati huu wakuu,
Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa...
Hata kama gari ina CC 500, bado wapewe heko wenye nayo, huu mwezi wa tisa umekua na jua kali balaa, na linanipiga vilivyo, ifike hatua sasa nitafute hata ya mil 3.5 kwakweli, jua litaniua
Iko hivi;Kuna rafiki yangu anasema mumewe hawezi kusimamisha Tena mjegeje baada ya mshipa mmojawapo wa mjegeje kuvunjika.
Huyu mumewe alienda kwa mchepuko wake,Sasa wakati wa kunyanduana ndo...
1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako.
2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida.
3. Uweke malengo yako humu JF nini.
4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi...
Heloo hii habari za asubuhi vp umeamkaje kama uko fresh mshukuru Mungu ni mwema katufanya tumeona jumamosi ya leo wale wanaoenda kufanya kazi Mungu awape mahitaji ya moyo wenu Amina
Wakuu...
Habari ya jumamosi tulivu hapo ulipo??
Umeshapata chai????
Sasa sikiliza nikuambie,
Najua ulishapita shule, iwe chekechea, vidudu, msingi, sekondari hata chuoni.
Kama utakua...
Mjomba wangu ambae amesoma mpaka darasa la nne huko mkoani Tabora mwenye akaja Dar es Salaaam kama bodaboda ila mpaka Leo ana
Mwenye V8 3
Toyota Hilux 3
Harrier 2
Alteza 1
Scania za mchanga 56...
Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.
Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri...
Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali,
Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni...
Oya wakuu niaje, Kama kawa?
Aisee kama mdau wa Corner Bar nimeumia sana baada ya kwenda pale na kukuta kumebadilishwa kuanzia muonekano mpaka burudani zilizokuwa zinatolewa mfano kibao kata nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.