Karibu watu wote wanaofanya kazi ngumu matusi ndo raha yao.
Wabeba zege, mafundi wa nyumba, mafundi wa barabara, watu wa TANESCO wanaoweka nguzo. Karibia kada zote zinazofanya nguzo kutukana ni...
Binafsi, elimu yote kwa ujumla hakuna ilichonisaidia katika maisha. Mara mia hata ningeishia darasa la saba. Pmbv sana elimu ya Bongo
Nina knowledge kubwa ya Electrostatic, Current na...
Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio...
Wajinga kabisa!
Leo nawachana.
Weekend ya J2 ambayo ni jana nilikwenda restaurant karibu na pale TipTop night club. Huduma zenu ni nzuri ila wahudumu wenu wanaharibu.
Niliagiza energy zangu nne...
Zari ra mentari rimenidondokea! Reo kwenye kusagurasagura kwenye mitumba nikakutana na ULISI wa wadhungu!!
Maneno kidogo Ulisi ni mwingi.
Kura chuma icho kabura tiiarai awajastukia Hulisi
Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing.
Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa...
Najitahidi kushusha Hasira za tokea Jana Jumamosi Saa 12 Jioni na hadi Usiku huu wa Saa 4 leo Jumapili bado tu hazijapungua kwa Draw ya Simba SC huko Jijini Ndola nchini Zambia.
Ukiwa ni Wimbo wa...
Michezo ni Upendo tena Michezo ni Furaha
Inasemekana ni Wachezaji ndio wamesema hawana Zawadi ya thamani ya kumpa mfadhili Wao Freeman Mbowe zaidi ya Ushindi wa Leo
Utopolo FC mmetisha sana...
Hawa watu haijalishi wametembea nani, mpaka kesho nawapenda,
1. Jennifer Kyaka (Odama)
2. Irene Uwoya
3. Rachel Kizunguzungu
4. Nandi wa Bill Nas
5. Rachel wa mahusiano clouds
Naomba wafikishie...
Aisee hili jina limekaa kitapeli tapeli ndiyo maana madalali wengi wamekaa kitapeli tapeli sababu ya nguvu ya jina lao.
Napendekeza waitwe hata Mtu mwema/Watu wema. Hii itasaidia kubadili tabia...
Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..
Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.