Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake.
Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo...
Amani kwenu wadau
Muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia huyu jamaa kwa maana ya mshana jr na mada zake,yeye amejikita zaidi kwenye mauza uza ya kutisha na uganga na pia hutoa habari za kiimani pia...
Mimi nimegundua star tv hawasomi habari mpaka itv waisome kwanza, ili waangalizie kichwa cha habari.
Pili nimegundua baskeli iliyotolewa break inakimbia sana kuliko yenye break.
Na wewe...
Ukipita sehemu mbalimbali hapa nchini kuna majina pengine ulistaajabu kuyasoma ama kuyasikia, mfano kuna sehemu panaitwa GANG 48 Mkoani Tabora ni jina ambalo linakufanya utake kujua nn hasa ni hio...
Naam Niko mbeya Pazuri hapa
From Tanga mjini to mbeya.
Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.
Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar
Mbeya...
Wiki iliyopita nilipita duka fulani hivi la simu nikiangalia kisimu cha kutunzia laini zangu.
Jamaa walinishawishi ninunue haka ka itel ka laini 3 dah!
Nataka nikamuongezee hela alieniuzia maana...
Inakuwa ngumusana kuzikontroo.
Mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk
Nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela...
Pamoja ya kwamba tunaweza kujiona ni wachache humu kulinganisha na population nzima ya taifa.
Lakini nyuzi na maoni yaliyo jaa humu ni picha halisi ya namna jamii yetu ndani ya taifa letu ilivyo...
Habari ndugu wanaJF
Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama.
Natuma salamu kwa wafiatao
sky eclat
faiza fox
kichwa kichafu
mpwayungu...
Greetings
Nimekaa tu nikiwaza na lilikua wazo langu la muda mrefu tu,hivi mfano tukakutana vijana watatu mpaka watano tukaandika proposal kwenye balozi ya usa USA EMBASSY TZ na nchi nyingine za...
Greetings Kitty Chasers na my fellow Pussy prowlers,
Wanasema kama unapenda Quality Women lazima uwe unajua kusoothe a lonely Vag***a na uwe na bone strength ya nguvu ya simba, warembo wazuri...
Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi..,
Ila nimeona mwanaume...
Mropokaji wetu 'Hali tena Kamwe' chonde chonde Mdogo wangu kwa hizo Fito zako ( Miguu yako myembamba kama Mifyagio ya Chelewa ) uliyonayo Usithubutu Kuvaa Bukta na Kuikunja ili utuonyeshe hizo...
Leo asubuhi mida ya saa kumi na moja
Kama ilivyokawaida yangu kufanya mazoezi.
Mara nyingi mbio na mwendo wa haraka kutoka kigamboni ferry mpaka mji mwema nilikuwa nakimbia ila kufika maeneno ya...
Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa?
1. Mshana Jr
2. Pascal Mayalla
3. Robert...
Ile unatembea kitaa kila baada ya lisaa njaa hiyoo, hapa sio kwamba hujala gheto ila tu pesa mfukoni hakuna.
Ia siku ukiwa na pesa unaweza dumu siku nzima hata hamu ya kula unakosa, unakula ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.