JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Askari wa Barabarani ( Traffic Police ) Mmoja huko nchini Kenya amejikuta akiibiwa Simu kwa 'Kuchomolewa' na Kibaka wakati akiwa anaongoza Magari. Nimewaonya...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Huu Wimbo ni maarufu siku hzi hasa hasa mtaani umeme ukikatika. Anyway nko hapa Bar tunaimba na kufurahi baada ya umeme kukata. CCM mbele kwa mbele wataisoma namba weee.!!!
2 Reactions
16 Replies
914 Views
Wakuu leo nimekuwa nikijiuliza hivi dalili za kumendewa na Israel mtoa roho ni zipi? Pia,hivi israel mtoa roho ni wa Mungu au wa shetani? Utajuaje Israel kakuandalia visa ya kuzimu au peponi? Hivi...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Back in the days, miaka ya 80 na 90 mtaani kulikuwa kuna noga sana kwa burudani mbalimbali tulizokuwa tunazipata kama vile kuona: 1. Ngongoti 2. Joyce Wowowo 3. Kibisa kucheza na Nyoka 4...
3 Reactions
10 Replies
595 Views
The lie game. Ni mchezo wa uongo au kudanganyana, kulishana matangopori 😀😀. Lengo ni kuenjoi tu na si vinginevyo. Comment kitu Cha uongo then utajibiwa Cha uongo zaidi. Mfano;- "Nilipokuwa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Inatokea kila mara, unamuakia kwa heshima zote anaitikia habari yako! Kwa nini? Hawataki kuheshimiwa?
3 Reactions
12 Replies
1K Views
kuna kipindi nilikuwa na mazoea ya kunywa hii wine na ilikokuwa inanipeleka ni kunitoa uhai. kun siku nilizinywa za kutosha. nilivyolala nikaamka saa 12 jioni kesho yake huku nikiwa na njaa kali...
5 Reactions
23 Replies
12K Views
Karibuni tuweke mipango jinsi ya kuandamana ili kumpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzito na ngumu anayoifanya. Karibuni tuweke mipango sawa. Kama wewe huelewei huu uzi pita kimya kimya...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Ukiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
3 Reactions
103 Replies
3K Views
Hapa kuna vichwa konki sana sijawahi kuona yaani ukikosa mpigo mmoja tu umefungwa. Mipigo 8 mtu anapeleka mipira yote 8. Ila uwe vizuri mfukoni watu wanacheza kamari na hawana njaa mtu anapigwa...
1 Reactions
2 Replies
228 Views
Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio. 1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream. 2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia...
44 Reactions
136 Replies
4K Views
Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo. Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi. Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam. Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa...
3 Reactions
13 Replies
917 Views
financial services Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi changu. Allah akujaalie maisha marefu yenye baraka tele. Unapendwa na utapendwa daima mrembo wangu wa nguvu.
4 Reactions
90 Replies
4K Views
Baada ya kuja kuomba ushauri huku kuhusu dada na bikra yake Dada anataka nimtoe bikira yake kumbe yupo humu na ameona uzi wangu, muda si mrefu nimeongea nae kaniambia kwa kuwa nimemweka hadharani...
2 Reactions
68 Replies
10K Views
Habari wanajamvi, nadhani mtakuwa swalama. Nimeona nije na huu uzi kwa maana juzi juzi nilikuwa maeneo ya Dodoma. Jamaa mmoja akawa akisema kuwa wanawake wenye miguu myembamba wameonekana wakiwa...
2 Reactions
62 Replies
11K Views
Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia. Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone. Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Hi guys....yeah sawa na kichwa cha habari hapo juu, hizi hapa ni baadhi ya comments ambazo zilinivutia sana kutoka kwa members mbalimbali wa jf..... 1) Ukitaka kuiharibu jamii yoyote mwache...
14 Reactions
53 Replies
3K Views
Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla. Ni hayo tu kwa leo.
13 Reactions
105 Replies
5K Views
Kuna hii tabia ya baadhi ya watumiaji wa huu mtandao ukipost kitu wao wanakuja kudandia maraa ohh "Subiri waje" "Subiri muongozo" ili mradi tu waongeze scores na points kwenye akaunt zao. ACHENIII
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom