Yani ile dhana ya wamasai walefu inaenda kupotea, nadhani wanafanya interbreeding, au huku pwani hawanywi maziwa.
Yani unakutana na mmasai kafupi mwenye hadhi ya kuitwa mbilikimo kabisa...
Habari,
Kidogo mm humu ni mgeni, ila katka ugeni wangu kuna watu huwa naona wako serious kwenye swala la ku dislike yaani wao hiyo ndo kazi yao kubwa
Kwa kweli sijajua kwamba hawa watu wana...
Habari Wakuu,
Tangu Makolo wapate ofa ya mchongo kwenda Super League (ingawa hawakuwa na uwezo), huyu mke wangu ni kolo dam dam, amekuwa wa kunipigia makele kila siku kiasi kwamba nilianza...
Natumai mko poa Wakuu,
Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea...
Tucheze na vyote ila siyo Mapenzi. Na Mapenzi hayaangalii uko katika Siasa au Ulichukiwa Ofisini katika Kampuni au una Nuksi tu ya Kutokukubalika kwa Wanadamu kutokana na kuwa Tajiri sana...
Mwagona.
Ujio wa matoleo ya iPhone kwa Tanzania huwa ni msiba mkubwa hasa Wazazi Wanaume na makaka.
Kwani hicho ndo huwa visa vya dada zetu kuliwa tunda kimasihara kisa simu.
Tujiandae kusikia...
Habari zenu ndugu wanaJF
Mimi natamani kuwa maarufu humu au niwe super star waJF kama akina mwafulani
Sasa nifanyeje ili lengo langu litimie?!
Nipeni mbinu wakuu
Habari za mida hii wanajukwaa, nimekuja Dom kufatilia ishu zangu za kiofisi, niko Lodge sema usingizi umepaa. Ngoja niwape kisa hiki kilitokea miaka hiyo tukiwa chuo mwaka wa pili na shost yangu...
Jinsia yangu ni ME, Kijana mpole sana na mwenye aibu ....ebu tupige story kidogo , ni vitu gani vimekua vikikufuraisha/ kukuboa kuhusu warumi?, na ungependa kufahamu nini kuhusu warumi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.