Tuseme bilionea yupo asubuhi ofisini anaendelea na majukumu Mara ghafla inaingia laki moja kwenye simu kimakosa, je hapa bilionea hawezi kuacha shughuli zake na kuchukua lifti kwenda kwa wakala...
Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!.
Kwa Taarifa yako
1990 - Umri Miaka 35
1991 - Umri Miaka 34
1992 - Umri Miaka 33
1993 - Umri Miaka 32
1994 - Umri Miaka 31
1995 - Umri...
Unajua hapa duniani watu wanajionaga wajanja sana, ila hamna lolote.
Piga picha upo kwa nani, hii dunia ni yako? Unakula tu, unafakamia tu na kuponda vistarehe vyako, and then baade unaanza...
Mimi naishi na dogo langu la kiume kigeto geto, sasa shida ni kwamba, itokee siku yeyote tupike chakula kizuri sana lazima itokee kasheshe yeyote ile nisikile hicho chakula. Either nitatoka na...
"Wanaume mnashauriwa mnapotubusu alafu mkashuka kusini kutula, tunaomba msipande juu kutubusu maana mnakuja na harufu kali.
Binadamu akila msosi husubiria nusu saa ndio anywe maji..
Muwe na...
Wakuu huu Uzi ni kwa ajili ya kushare different stories ya umbandu mbandu uliokutokea sikukuu pendwa ya wajinga ..kwangu Mimi siji sahau siku ambayo swalehe alikuja kuniamsha kwamba nje kuna simba...
Leo katika pita pita zangu maeneno ya kanisania nikakutana na rafkiangu nilikua nae wakati tupo wadogo
Kattika kuongea ongea nae muda mrefu akaniambia ya moyoni,,, eh mie nae nina kismati kila...
Habari wanajamvi,
Kumekuwa na desturi ya watoto kudanganywa aidha na watu wazima ama na watoto wenzao kwa malengo tofauti tofauti. Mfano kuogopeshwa tu au kutotakiwa kufanya jambo fulani.
Mimi...
Ama kweli nimeamini kumbe Nabii hatambuliki kijijini/nyumbani kwao
Yaani wadada na wakaka wa humu mnaongeleaga na kushauri kuhusu relationships Ila cha ajabu mbona nyie ham fall in love au kuoana...
Ilikuwa mwaka 2004 nikiwa darasa la 6. Alikuja ndugu yangu toka mjini na kuja na kuber. Ilikuwa jioni flan kijijini wakatii huo kumetulia watu tunasubiri ugali wa usiku, kipindi hicho hakuna milo...
Hii ni kwa wanaojiita born town..Born iya iya..wazurulaji, watoto wa streets,
Hii Sio kwa wakuja, wale wakifa wanasafirishwa, na wale getikali
Wengine wote: Unaijua Dar weye??
Twende kazi…...
Nimekumbuka kitu kimoja nikiwa katika baa moja nimeletewa chupi na chinga. Chupi za kichina. Mwisho wake nikakumbuka vyupi vya VIP nilifurahishwa na ufungaji wake katika boks (Prkg) ila nakumbuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.