Nimefanya utafiti kwenye familia 600 za Kihindi lakini hamna hata moja yenye wake wawili.
Nimejaribu kuuliza lakini sijapata jibu. Wiki ijayo nitakutana na Balozi wa India nitamuuliza hili swali...
Kikao cha wanaume kimeisha salama jana..
Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya..
Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa...
Haya haya sasa, mimi kila nikiamka asubuhi, mume ananiambia morning babes!
I love you, na mabusu tele, mwaaaah!
Sasa sijui upande wako ukiamka kunakuwaje? Unaamka na stress za kausha damu...
Salaam/Shalom.
Natumai mu-wazima kabisa, kama mimi vile nilivyo pia.
Lakini huwezi kujua mtu ambaye hamjawasiliana muda mrefu sahizi anaendeleaje...? Watu wangapi hujawasiliana nao kwa kipindi...
Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii.
Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi.
Mikoa ya...
Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Binafsi namomba sana mwenyezi mungu anijalie afya njema kabsa nitafute hela kwa bidii ili siku moja kabla sijarudi mavumbini basi...
Habari mwana JF.
Smart phone yako ya kwanza kutumia (kununua, kununuliwa au kupewa) ilikuwa aina gani?
Binafsi ya kwanza kununua iliitwa xbo😀
Ilikufa baada ya mwezi mmoja.
Wana JF
Ni ka mudaa Sasa kamepitaa Baada ya mifuko ya Rambo kupigwa marufuku. Mapakaa nishaanza kusahau inafananaje. Anyway Kama unataka ujikumbushie jinsi ilivyo, na inatumikaje i ngia Youtube...
Ahahahaha
Tumieni vizuri hizo annual increment, msimalize kwenye ulevi na zinaa.
Nunueni hata tukuku mle, inakuwaje mtumishi unamaliza miezi 6 hujala kuku wa kienyeji😭😭😭
Na tukizinywa hizo tutakuwa na Hasira hasa katika Maongezi na Majibu yetu huku tukizidi Kukaza Macho na Kurembua kwa sana.
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
Humu kila mtu anarafiki yake sio mpenzi au mchumba ni mtu mliyeshibana wataje au mtaje.
Mie marafiki zangu ni wowote wale wanaonisema vizuri, kunijali
Goood day
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.