Shukrani kwa mchumi grade one niliyekuwa nimekaa naye jana kwenye ka pub kamoja kalichozungukwa na maji machafuyaliyoshindwa kupata njia ya kupita kutokana na serikali za mtaa chini ya CCM kupuuza...
Habarini Wanajukwaa.
Leo ningeomba ku-declare interest kuwa hakuna jukwaa la kidigitali ninalolikubali kama jamii forums.Sababu kuu ni matumizi ya misamiati ambayo sijawahi kuisikia mahali...
Dah mida hii naingia zangu telegram nakuna na Boss join kwenye group la ovyo sana, sasa najiuliza how ameweza jiunga halafu ni mtu anaheshimika sana
Dah nawaza nileft mimi au nibaki nikomae
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza wazi kabisaa
Kama uliwahi soma kisa cha ukweli ,iwe kinahusu mapenzi harakat za maisha, matukio mbali mbali ya kihistoria
Just share with us
Na sisi...
1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo?
Mtoto: Lakini mama......
Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea?
2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia...
Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali...
1. Lack of capital
2. Poor government system
3. Lack of skilled labor
4. Dependance of import goods
5. Poor contract agreement between investors and the government
6. Extreme corruption among the...
Labda nakosea ndugu zangu ila mabinti wengi ambao nawaona wamevaa hivi vikofia/vibanio/vitaiti kichwani mara nyingi wanakuwa na mchecheto sana na viruka njia.
Sio wote ila most of them nawaona hivi.
Muda:
nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2,
Chanzo:
Niliingia kwenye msala flan ambao hatma yake iliamuliwa baada ya siku 30, ulikuwa msala ambao ungeathiri hata...
Unaweza ukanywa maziwa siku 29 siku ya 30 ukanywa sumu bado utakufa vile vile.
Hii inamaanisha ubaya wako mmoja unaweza kufuta mema yako yote.
Kwa hiyo kuwa makini na mtu unayemtendea...
Taarifa kutoka Tanga zinaeleza kwamba wananchi wameanza kupikia mafuta ya kula , baada ya nazi kuadimika kwenye masoko.
Haijulikani hasa sababu ya Nazi hizo kuadimika ghafla , bali wanazuoni...
Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.