Yaaani haya mambo yasikie tu kwa mwenzio aiseee sio poa yaani zamani nilikuwa nasikia mtu akijinyonga nilihisi huyo jamaa ni mbwa tu na mjinga sasa mimi sasa kiukweli mie nimekulia kwenye familia...
Ni muda sasa nimekuwa napitia mazingira magumu sana ya kimaisha ajira ikiwa kwangu ni jambo lisilotatulika pamoja na kutegemewa na familia niliyonayo. Nimekuwa nikijitahidi sana kutafuta kazi kwa...
Wanaume mnalipia vibaya kuweni macho jamani.
Kama kuna mwanaume aliemwumiza vibaya mwanamke huku duniani na mwanamke akaamua kuambia jamii nzima jinsi alivyoumizwa, huyo mwanamke Mungu ambariki...
Nina shogangu kidawa tunamwitaga KICHWA PANZI. Amekwama anataka kujimaliza bila sababu nikamwambia hii kesi ya nyuki pelekea malkia kama sisi kwanini ujiue labda unawahi Mbinguni kufanyaje kuimba...
Jamani mmi nikisema napumzika sasa siandiki thread mpaka tar 1 July lakini visa duniani haviishagi kabisa.
Leo nimeletewa Ubuyu na mkaka m1 anasema niwaambie akina dada kuwa
Wanawake wa karne ya...
NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume...
Wadau habarini kama kawaida yangu kuleta visa vyangu mbalimbali kwalengo la kujifunza na kuuaminisha umma juu ya mambo kadhawakadha
Ilikuwa ni Jumapili moja yamwzi april nilikua masaki na...
"TAFUTA HELA WEWE"
Unakuta kaamtu kanakoandika hivi kamekakamaa na njaa kapo tu kijiweni kanapiga stori kuwa bandari imeuzwa.
Au unakuta ni jobless miaka mitano anaishi kwa ndugu, halafu unakuta...
Zamani ilikuwa akitoa habari tu lazima members kibao tukimbilie kuisoma na malikes kama yote. Yaani baada ya dakika mbili tatu tu utakuta kuna pages kibaaao, views nyingi mnooo. Habari zilishiba...
2016 kurdi nyuma nilikuwa sipitishi siku sijaingia humu. Ila kwasasa majukumu yanabana sana.
Ukiwa free ndiyo muda pekee wa kucheza na watoto. Nadhani hili halinitokei peke yangu tu.
Binafsi...
Hello,
Leo birthday yangu wajameni, karibuni kwangu.
Namshukuru Mungu kuruhusu nije duniani, lakini pia kunifikisha usiku ya Leo.
Asante mama luckyline, kunileta duniani siku kama ya Leo...
Nikupongeze tu Bwashee Erythrocyte kwa namna unavyoturipotia yanayoendelea hapo Mbeya
BAVICHA wote wanawatenga Dr. Slaa na Mwabukusi kwa sababu walihama CHADEMA baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2015...
Salaam, wanajf, napenda kuwatafuta wadau muhimu katika jukwaa hili la jf. Baadhi ya Ni Kama
1. TO YEYE
2. KICHWA KICHAFU
3. FAIZA FOX
4. SKY ECLAT
4. MPWAYUNGU
5. WA STENDI
Jamani, watu Hawa mko...
wazungu walipagawa, majaji hawakukaa kwenye viti muda wote walikuwa wanashangilia..shukrani kwa mtaalamu wa subtitle maana alisaidia sana kuitafsiri movie hii kali iliyoileta kwa heshima taifa la Tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.