JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Katika Maisha ya binadamu kupitia changamoto ni njia mojawapo itakayokuwezesha uweze kufikia malengo Yako lakini muda mwingine changamoto zinazidi uwepo wa uvumilivu . Yani changamoto zinafanya...
1 Reactions
1 Replies
300 Views
Je, ni kweli kuna vitu vingi vya kumuomba Mungu kabla ya kumuomba utajiri?
0 Reactions
6 Replies
301 Views
Uwe na siku njema. Lakini akili yako iwaze kwenye mafanikio hata kama huoni sehemu ya kupitia. Mungu ni mwema sana.
0 Reactions
4 Replies
297 Views
Sherehe ya kurudi kwa mkewe. Mtaa wa Nd ege....Hananasif Bongo ukifa na stress.............
3 Reactions
5 Replies
438 Views
Binafsi mimi nilikua mvivu sana kusoma (ila nilikua nabukua), sipendi kufanya test (nasingizia ugonjwa). Ukinisaidia kwenye pepa lazima nikupite, nilikua najua sana kumodify majibu ya msaada...
7 Reactions
112 Replies
4K Views
Mi mgeni nilitafuta mwanaume wa kutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana. Mimi sio huyo kwenye picha mie...
10 Reactions
90 Replies
4K Views
Nakaa huku uswahlini chumba hakina siling bodi na ukuta unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu za jioni. Mwenzenu nataka kujipongeza (Kwa jinsi mambo yanavyoenda kadri nilivyotarjia) Kwa kupanda ndege kutok mbeya Hadi Dar via Precision air maana hizo zingine nimeon gharama sana...
1 Reactions
3 Replies
406 Views
Salute Tarehe 10 June 199- Member Da'Vinci nilizaliwa saa 4 asubuhi siku ya Jumanne Namshukuru Mungu kuniwezesha kutimiza miongo kadhaa Chini ya Jua hili. Nawakaribisha tukate keki kwenye ukumbi...
7 Reactions
166 Replies
7K Views
Wakuu naomba namna ya kuongeza vocha(muda wa Maongezi other networks via Tigopesa. Maana najaribu sana naona nafeli
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Katika harakati za kutafuta maisha nimejikuta nimepita Mpwayungu Village Dodoma, kijiji anakotokea member mmoja mtata humu. Assessment ya haraka haraka inaonesha ni kijiji cha hovyo hovyo which...
16 Reactions
31 Replies
3K Views
HABITS THAT DEFINE AN AFRICAN: (1) Urinating behind the house. (2) Wife sleeping next to the wall (3) Keeping brooms behind the door. (4) When you get rich,people say you have a secret bedroom...
2 Reactions
5 Replies
620 Views
Salamu wakuu ndani ya JF Mama yangu yupo humu humu ndani ya jf ningependa kumfikishia salamu popote alipo I love you mom
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Yani kuna matendo mnaweza ona kama havina maana ila ,kiukweli vina maana kubwa mno Unaenda sehemu unaletewa chakula kabla ya maji ya kunywa au ya kunawa Kibaya Zaid unakuta mke wa mtu yupo...
1 Reactions
11 Replies
486 Views
Hahahaha, Nimeanza kwa kucheka kwa maana Smart911 is among the strangest members humu JF. Mzee wa: "Ngoja waje kukupa muongozo" "binadamu wa siku hizi ni wabishi sana" "Natumaini mtoa mada...
60 Reactions
1K Replies
36K Views
Basi hii ni mitaa ya Rwamishenye, Bukoba huku kwenye #RohoTua yangu awamu ya 8 .. Nukuu ya leo: Daima, wanadamu wanahitaji kuongozwa; na ukikosekana uongozi thabiti, watamsikiliza yeyote...
2 Reactions
15 Replies
980 Views
Kwenye maisha tunayoishi kuna changamoto nyingi tunazipitia . Changamoto hizo nyingine hutupandisha kutoka sehemu moja na kutuweka kunako nafasi fulani na nyingine huturudisha nyuma kabisa kwenye...
0 Reactions
6 Replies
397 Views
Wasalaam JF, Nikiwa nakula vibe la amapiano kali nitoe ujumbe na rai ya kutambua urafiki wa damu kati ya Mo energy na Hanson choice. Ni ujio pekee wa Yesu ndio unaweza kuamua vinginevyo...
2 Reactions
6 Replies
731 Views
Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Na yeye utamsikia👇 Kataa ndoa, Ndoa ni usanii.
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom