Eti kama hizi stress za mapenzi zingekuwa zinaua wewe ungekuwa marehemu tangu mwaka gani?
Aah yaani mimi ningekufa mwaka jana yaani ningekuwa sasa hivi nimebaki mifupa ila Alhamdulillah...
Leo katika harakati za kupiga vitu vya mbugani achana na akina john mtembezi, nikabidi nifuatilie kuhusu maandishi ya maokoto.
Naona ni stail mpya ya kubet hii. Maelekezo nilopewa na kutafakari...
Hakika nafarijika mno NALIA NGWENA na sura langu hili Kama nazomea lakini Kuna totozi kutoka mitaa ya washua Tena pisi Kali kweli kweli haziogopi kunifata PM.
Hicho kitendo kimenifariji sana tena...
Muda mfupi uliopita, kulikuwa na mwanamke ambaye alitaka kujua jinsi mume wake angefanya ikiwa angeondoka bila kumwambia alikokwenda.
Aliamua kumwandikia barua akisema amemchoka na hataki kuishi...
Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru...
Nawaza tu kwa sauti, hivi wanaume wanaoringia six pack zao kwa kuvaa nguo zinazobana ili waonekane wana tofauti gani na wanawake wanaoringia sura (uso) na makalio makubwa (msambwanda)?
Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu...
Hivi ukipewa nafasi ya kuishi katika nchi moja wapo tajwa hapo juu wewe kama mtafutaji unaweza kukimbilia nchi gani?.
Na toa maelezo kwanini unaipenda nchi hiyo.
Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko...
Wadau hasa nyie mnaokaa uswahilini, hivi kwanini watoto au mademu wa uswahilini wanaturingia sisi tunaoishi kishua katika mitaa yao.
Yaani unaweza kumuita anaringa balaa ila sasa ukicheki...
Kuna wakati tunatimba ishu ambazo hata shrletani mwenyewe anasanda na kushangaa.. Lakini kwa akili nyepesi za kibinadamu tukamsingizia yeye...!
Je ni kufanya matusi?
Wizi?
Ukafiri?
Ulozi...
Huyu jamaa siku hizi yuko wapi??
Mzee wa mayai ya malkia, ni wachache sana humu wanaofikia akili ya yule jamaa. Super Genius.
Wengine nao wamekuja humu wanajifanya fanya wachambuzi uchwara...
Dah ukisikia maajabu basi ndio haya, nimekuwa najiuliza kwanini watu Wakiona kivuko lazima wakikimbilie Kama vile wameona pepo?
Utashangaa watu Wanakimbia Kama vile wame sikia dunia Imefika...
Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara.
Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection.
Wenyeji nipeni suggestion ya...
Ni habari za ujinga ujinga tu.
Habari za nani anatoka na nani?
Nani kalala na nani?
Sijui tunatengeneza taifa la namna gani huko mbeleni.
Acha mwarabu achukue nchi aisee.