Kisa cha mwanamke wa ziwani – 1
Aliuawa, mwili ukazamishwa majini kwa miaka 21
Ulizamishwa kwa kufungashiwa vitu vizito usiibuke
AGOSTI 12, mwaka 1997, majira ya mchana katika Wilaya ya Lake...
mama mmoja mlemavu wa mguu kaja jijini kumtembelea bintiye ambaye ni mkurugenzi wa kampuni fulani,binti hakufurahishwa na ujio wa mamaye kwani kwa hadhi aliyonayo aliona kama fedheha kuwa na mama...
kwani huyo wema ndona nani wakuteka media sasa kwani yeye akipata mchumba wengine ina wahusu nini hayo si maisha yake binafsi yaani mpaka bbc nao wanakaa kuitengenezea habari eti wema kapata...
TUCHEKE KIDOGO
John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu.
Mara ile ile...
Mzee mmoja mwenye heshima zake alipita mtaa fulani uswahilini akakuta
vijana wamejipanga barabarani kwa
furaha.
Mzee akauliza, "Vijana kuna nini hapa?"
Kijana mmoja akamjibu, "Tumeambiwa kuna...
Jamaa mmoja bausa alikuwa kapumzika
mahali fulani anakula upepo. Mara akatokea
dogo mmoja akamuuliza, "Bro, saa ngapi?" Bausa akajibu, "Ondoka hapa usinisumbue!"
Dogo akamwambia, "Siondoki mpaka...
hawa watoto ni wacheza filamu wa kinigeria,nimeanza kuwaona kwenye tasnia hii kwa kipindi kirefu sasa hata zaidi ya miaka kumi na tano.ajabu ni kwamba taswira na muonekano wao haubadiliki,hawakui...
"Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke
mjane aliyekua na binti mkubwa tu na mimi na
huyo mjane tukaamua kuoana. Baadaye baba
yangu akamuoa binti yangu wa kambo (yaani
binti
wa huyu mke...
History Ya Valentine Day
★★★★★
Asili yake ni sherehe ya kipagani iliyoanzia mjini Rome Italy.Ikaingia kuwa ya kidini na sasa imekuwa ikitumika kama ni msimu wa kufanya biashara huria ambapo...
Wakuu yamenikuta huku,
Leo usiku mida ya saa 8 nilipigwa vibao na mtu nisiyemuona yaani haonekani kabisa, nadhani ni jini lile.
Naombeni msaada je nifanye nini kujiokoa na dhahama hili wakuu?
Sorry for writing in English but my Swahili is below average :(;)
I want to know if there are other large African forums like this one to discuss all kind of topics?
I hope someone can help me...
Wasalaaam ndugu zangu,
Wale wakubwa shikamoo, wadogo marahaba.
Leo nimeamini ule usemi unaosema UGUMU WA MAISHA NI KIPIMO CHA AKILI.
Katika vyote cheza na woooote siyo mtoto wa kike.
Bwana kifupi...
Unashangaa nini ndio nishaamua mwenzenu nimejichanga na pesa za kudunduliza kwa mwaka mzima sasa ndio nimeamua kufungua hazina hii.
Sasa sijui nile bata na my valentine au ndio niongeze mtaji...
Habari za majukumu.... natumaini wewe ni mhusika ndomaana umefungua post hii, swalilangu ni Je, umewahi kwenda kuwanga ukiwa na smartphone au tablet yako? Kipindi unasafiri na ungo kuelekea huko...