Proffesor Jimena is giving a seminar on the supernatural
To get the feel for her audience she ask,how many people here believe in ghost?
About 90 students raise their hands
Well out of those of...
Habari,
Kuna dada mmoja mkarimu na anaonekana mtaratibu mno namtafuta mazingira haya kuruhusu kupata contacts zake.
Tulikutana leo kanisani jumatano ya majivu....usharika flan lutheran...
Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia
kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho...
Kutokana na kwamba Jumapili hii ni SIKU YA WAPENDANAO basi binafsi nimeona si vibaya nikionyesha MAHABA yangu ya ki Valentino kwa members hawa wa JF kwani hakika wamekuwa WAKINIKOSHA hasa kwa...
habari za jion wana familia wa jf?
hua najiuliza humu ndani kwanini profile zilizo nyingi member hawaweki picha zao na majina harisi, najiuliza majina kama kipanya, chongo,vuvuzela mnubi, n.k...
Do not bother with this house design if you're not rich.
More details ID 25703
ID 25703
Luxury living with 5 bedroom mansion with gym, family room and all en suite rooms
PLAN DETAILS...
Nimemkumbuka my ex bwana jamaa alikuwa na mashauzi yule gari kali simu kali ila ndani kwake godoro tu hakuna kitanda wala kochi au sofa kupika ilikuwa sufuria mbili chakavu.
Ndio bomba zaidi wengi wana elimu ni wasafi wanang'ara wanatumia makeups vipodozi na marashi ya bei mbaya wanajua kusuka sangita za mmasai na Brazilian wanamiliki smart phones (japo nyingi ni...
Nipo nyumbani nimefungulia radio kwa sauti kubwa kuna nyimbo nasikiliza hapa wanaimba, umelala huoo umelala huoo, umelala huoo mtarimbo umelala doroo x2
Sasa mimi sielewi huo mtarimbo uliolala...
Nilikuwa nimetoka shambani kwenye gari nilikaa na binti mmoja mzuri sana alivaa ushungi nikajiambia kwamba nisipoomba namba hapa ntakuwa najilaumu sana hapo baadaye. nikaomba namba nikapewa.
Sasa...
Jamaa mmoja kaenda zake kuvua samaki, kufika ziwani akaandaa ndoana yake na akavua viatu na kuingiza miguu ziwani, ile kugusa maji tu samaki waanza kufa hovyo .. DAH hebu ione imekaaje hapa:
Sijui nimfanyie nini jamani. Handsome la nguvu side burns zinavutia maana ni safi saa zote. Akivaa nguo zinamfit vzr sana. Tukitoka kila mtu jicho. Sipendi akasirike jmn nitaumia sana. Lakini...
Unanunua simu ya laki tano ili utumie
kuchat na wanawake wa JF ...
Wanawake wenyewe ukiwatongoza
hawakutaki.
Sasa hiyo laki tano bora ungefungua genge tu.
habari wana Jf
Ilikua tarehe 25 january nilikua naenda masasi kumsalimia mama yangu mzazi saa 12 na nusu ndani ya maning nice tayari kwa safari ya masasi kwenye siti yangu nilikaa na mtoto mmja...