JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani sijui ni ugeni wa huu mji wakuu, nimo ndani tu nimeshindwa hata kutoka niko kama kuku wa kizungu.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Msichana ashindwa kutandika kitanda hebu angalia halafu mpe mawazo Ha ha ha ha ha LOL!
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Salaam... Wakuu Hii inaweza Kuwa ni bishara njema kwa wa tz, usiku wa Jana kudamkia Leo nimeota. Serikali ya Tanzania imerusha rocket katika orbit kwa kusaidiwa na vijana wawili kutoka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika utafiti usio rasmi nimegundua hivi vitu viwili pesa na wanawake au simply mwanamke vina majina mengi sana. Lakini bado sijagundua kipi kina zidi kingine kwa idadi ya majina hayo. Na...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu. Mara ile ile akaguswa begani...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
HUYU JAMAA NI FORMER ISRAEL AMBASSADOR IN KENYA. KWETU AFRICA ANGEITWA MUHUNI. KILL YOURSELF USIPOIPENDA. RAI: JAMANI KWA WALE WENYE VIPAJI MSIVIFUKIE; MAKE THE MOST OF IT. kui , Kaboom , Paulo...
2 Reactions
1 Replies
728 Views
Happily married, lakini mwenzenu huyu mtangazaji wa ITV ananiua kimahaba. Nampenda hadi naumwa. Amu njoo unisaidieee.
1 Reactions
87 Replies
13K Views
Habari zenu wapendwa wangu Leo nimekuja na SOMO JIPYA sana mwaweza kunishangaa mkadhani ladyf kadata la hasha sijawa hivyo bali wakati mwingine lazima uwape somo wenzao sio kila wakati wewe...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Amekuomba urafiki W-T-F Mkachati Umeangalia picha zake Anaendesha GARI Anaonekana ni jamaa mwenye uwezo Umemkubalia urafiki Amekutumia text inbox Umemjibu Amekuomba out Mkapanga kuonana...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Binti mmoja alikaa nje ya nyumba yao akilia kwa uchungu huku akiwa ameshikilia mguu wake wa kulia.Binti huyo alikumbana kichapo kikali kutoka kwa baba yake baada ya kupata 8/10 kwenye mtihani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wenu. Mara nyingi roho inaniuma sana ninapoona mchepuko unafika juu ya mlima Kilimanjaro tena kwa mbwembwe na madaha sana. Kuna wengine hufika huko zaidi ya mara moja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kwel unatamanisha ukivaa chupi na kuiita kimini, ni kweli wanaume watageuka sana njiani upitapo, NI kweli ukivaa chandarua unaonekana ROMANTIC kweli kweli, najua una lengo lako ila ujue kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimepita mitaa ya uswahilini Mwananyamala kwenye kichochoro kimoja nimewakuta wazee wawili wamekumbatiana kwa mahaba mazito wakilana denda. Nikapita kama siwaoni mara nikasikia, "Mjukuu wangu hii...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salaam wadau.... Hiyo slogan naipenda saana na nimeiona katika channel moja ya tv, channel hiyo inaenda kwa jina la ED. Back to the context and my intention writting za post ni kwamba nimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanini magazeti ya paparazi yana rangi nyingi?
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Habari ya siku wana Jf,namshukuru Allah atupae uzima wa afya tele,baada ya kimya kirefu sasa mjengoni nimerudi. Salamu zangu za dhat kabisa kwa notable member wote.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chekechea ni shule ya vidudu ya watoto wadogo sana wengine kuanzia mwaka mmoja ambao wanahitaji huduma na mapenzi ya karibu sawa na mama zao. Lakini utakuta shule zingine za aina hii wanaajiri...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuku katagia mwibani
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…