Ndugu wanajamvi ,
Mimi ni mfanyakazi katika mkoa wa Shinyanga but sasahivi nipo masomoni Dar es salaam ilikuwa wiki iliyopita my X wangu akanipigia simu anaomba nimuongeze pesa anunue simu...
INDIA kuna mtu katoa FIGO yake kwa milioni 20..
Hapa TANZANIA kuna mtu anatoa MOYO wake wote kwa mtu na bado anaombwa HELA YA SALOON!!
[emoji12] [emoji12]
Juzi ndiyo nilijua kumbe JF kuna jukwa la kikubwa baada ya kumkuta Assistant wangu akiwa amekuza picha ya kikubwa kwenye screen yake.
Ilikuwa majira ya saa tano asubuhi tupo ofisini sasa kuna file...
MAMBO KUMI(10 ) NILIYOJIFUNZA JANUARY
1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa.
2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini.
3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika Kazini.
4...
Dar-es-salaam TANZANIA.
Ya kweli haya au nao ni uzushi mwingine tu!??
President Magufuli has banned all senior public officials from using fuel guzzling 4 x 4 cars and other luxury cars...
Kwanza niseme kwamba nimevamia kambi ambayo mimi si mpenzi kuandika hoja labda kusoma tu.
Lakini leo mchana nimesafari na binti mmoja katika gari moja la binafsi, baada ya kuwapatia lifti akiwa na...
Hello wana CC!
You will be awarded 20,000,000 trophies,If you can solve profoundly the paradox below
Lets begin...
1.THE STATEMENT BELOW IS TRUE
2.THE STATEMENT ABOVE IS FALSE
Which statement...
Raisi wetu kipenzi wa Tanzania John Pombe Joseph Magufuli inasemekana kuwa ameondolewa group la whatsapp la maraisi wa afrika mashariki, maraisi hao wameacha kupokea simu zake na kwenye mitandao...
Dah kudadadeki! Maisha magumu sana *****......Yani mshahara umeingia tar 25 leo nipo mweupeeee. . . Pesa yote kwishney. . Dah
Anyways, hivi ile mimba ya wema ni ya luis au idris? Na naskia lady...
Maalum kwa wale wapenda lift?????? ....
Huu ni waraka wangu kwako wewe mdada ninaekupaga lifti asubuhi. Nimevumilia sana mpaka nimechoka aisee maana imekua ni kero sana. Toka tuanze biashara ya...
Hello wapendwa
Ni mara nyingine tena Babuu kapata kuonekana tena mwaka huu Mungu amemvusha na ameuona mwaka mwingine tena nami sina sababu ya kufurahia na kuenjoy pamoja nae babu Asprin na...
A Pastor keeps chickens on the church premises… One evening a cock went missing.
In church the next day, the Pastor asked: "Who HAS a cock?" All the MEN got up…
"No, I mean who has SEEN a...
Wana jamvini
Hivi kuombwa sana pesa ni Dalili ya nini?
Mie ni mtanzania mwenye kipato cha chini tu ila ni madhifu unionapo,
Nashindwa kuielewa hii hali kwa maana sasa inapoelekea inazidi hali...