habari zenu wakuu,? naomba kuw adi l shwa na kyaaidiwa kimawaxo juu ya huyu binti jaman kwanza Mimi ni kijana Wa umri miaka 20 ni mwanafunzi Wa chuo hapa jijini dar es salaam kiukweli Mimi...
Jamani, Ninamshukuru Mungu kwani Leo nimefikisha MY VERY JOYFUL TWENTY YEARS WHICH ARE FULL OF EVERLASTING HAPPINESS tangu nizaliwe. Happy birthday to me. Karibuni mniwish na tusherehekee pamoja...
Habarini wana MMU
Kwanza kabisa kabla sijaandika ambacho nimepanga kuandika naomba nitangulie kwa kunukuu baadhi ya Nukuu hizi
-KUMPENDA MTU SIO DHAMBI
- Gravitation is not responsible for...
Nimekutana na dogo mmoja hivi hapa analia,namuliza analia nin??ananambia ''ALIPEWA MIA TANO ZIPO MBILI,MIA TANO MOJA YA NYANYA na MIA TANO NYINGINE YA VITUNGUU sasa KAKOSEA KAZICHANGANYA HAJUI...
Wana Jf Leo kiwanja gani sio haba mkaKariibishana
Binafsi ntakuwa origin
Toroka uje Kimara napata kgmoja ya ngrooo grooo NA Eagle ya kupima 500 kwikw
Kuanziia SAA kuminamoja
Njoo NA kianzioo
Mara nyingi nisikiapo au nionapo video yeyote ya Mwanadad Yondo sister da moyo wangu huwa burdan kabisa,yaan kuanzia yeye hata wanenguaji wake unaona kabisa wanacheza kwa furaha,
Wadau wengi wa jf wamejitokeza mwaka mpya 2016 na kutoa salamu au kusema chochote kuwataarifu wana jf kwamba wapo.
Wadau wawili maarufu hapa jf sijawaona, hata kwenye rollcall ya charminglady...
Habari zenu wana JF,
Katika pitapita zangu nikaliona gari limeandikwa Utoto mtamu, basi nikakumbuka tulivyokua tunacheza kombolela. Je, mwenzangu ni michezo gani uliicheza utotoni?
Kweli watu hawapaswi kuishi mabondeni sawa,basi wafanyieni hata kampango cha kuwasitiri jamani.
Kweri inasikitisha kwa hali ya kibinadamu,usisikie ukose pa kwenda,mfano wew just imagine...
Habari waungwana,
Leo bana katika kupita pita vile vijiwe ambavyo sijawapa hai siku nyingi nikakutana na huu mzozo bibie kamnunulia mpenziwe zawadi ya andazi moja tu kamtafuta full kupiga simu...
'Baby I swear sikudanganyi, wewe ni Mwanaume wangu wa Pili, nimekaa muda mrefu sana baada ya kuachana na EX wangu wa kwanza, yaani nilimpenda (anazuga kulia na kamasi kidogo), maana aliniumiza...
-Mwisho wa namba ni moja, akiwa na mayai kumi ukayaondoa yote hatagi tena ila ukimbakishia moja ataendelea.
-Akitaka kuangalia juu lazima jicho moja liangalie chini.
-Akitaka kusikiliza kitu...