Nilipima juzi malaria nikakutwa na wadudu sita tu, nikaandikiwa dawa mseto, naendelea kuzimeza.
Lakini leo nimeamka na kiu sana cha castle bariid, nimeshindwa kujizuia! Naelekea kwa mangi...
hata kama n mgen is too much;;
>mwenyeji;nikuandalie nin kat ya soda na chai
>mgeni;;naomba soda wakati chai inachemkia
>mwenyeji;ya fanta au sprite?
>mgeni;;naomba ya fanta sa iyo...
SOMA HII NA CHEKA KWA KUONGEZA AFYA.
Mwelevu na Mjinga walienda ktk usaili, walipofika kabla hawajaingia wakakubaliana aanze Mwerevu kisha akitoka ampe majibu Mjinga ili wote wapate kazi.
Basi...
Nimeipata hii kwenye Facebook...
Kuna kijana mmoja alikua anaitwa Said. Kijana huyo shuleni kwao, wanafunzi wenzake hata mwalimu wake hakuna aliyekua anampenda kwa sababu alikua kilaza sana...
Ni wazi kwamba CHADEMA ilianzishwa ili kuwa tofauti na CCM na vyama vingine. Tofauti hii lazima iwe dhahiri na ya kivitendo. CHADEMA iendeshwe kama vyama vya wenzetu kule Ulaya. Chama kikifanya...
Mkeo akisema atatoka na Watoto tu kwenda beach. using'ang'anize kuungana nae, huenda watoto wanaenda kuonana na Baba yao.
Si mnajua tena mambo ya 49% ya...
Please remember that the festive season is here again for us. Accidents take seconds to happen but suffering lasts a lifetime. Helmets and condoms should be worn on appropriate heads during...
Kama kuna msichana yoyote aliye tayari nimtoe "out" leo kwenda Dar-live kwenye show ya Diamond-plutnumz...ani PM ...kiingilio ni juu yangu pamoja na vinywaji ntagharamia.....hii ni zawadi yangu ya...
Wakuu,
Kuna jamaa angu alimtokea dada mmoja kitaani kwetu toka mwezi wa saba. Kamfatilia wee eti leo ndio kamwambia atampa jibu tar 24 mwezi huu.
Je ni haki kweli kumtesa mwenzio miezi yote...
Wakuu habari zenu mi ni kijana wa kiume nipo kwenye miaka ya 29+ nahitaji kuwa na mwezi wa maisha baada ya muda mwingi kuutumia ktk shule na kuweka maisha sawa aliye tayari karibu pm
Mimi Ni mwanafunzi katka chuo kimoja hapa dar Nina jitegemea kimaisha yaani sio tegemezi kwa ujumla ila kuhudumia kwa sasa sitaki kwa kweli ila kusaidiana kwa ajili ya kusongesha maisha naamini Ni...
Nilikuwa natazama BBC news leo kukawa na habari inayosema kuwa umeme utakaomika kuwashia mapambo ya kirimasi mwaka huu huko marakani ni zaidi ya umeme tunaotumia mwaka mzima hapa Tanzania. Nikaona...
A Russian woman married a Canadian gentleman and they moved to Toronto .
?However, the poor lady was not very proficient in English, but did manage to communicate with her husband. The real...
Kamwene!
Wandugu, maneno haya ukitoa herufi moja au mbili utakuwa umeharibu maana kama sio KUTUKANA. Au ukitamka ndivyo sivyo.
1. Mbao. Ukitoa m
2. Komaa. ukitoa a
3. Kura. ukitamka kula
4...
asalam aleykhum........! pia bwana yesu asifiwe...napenda kuwasirisha hoja !
nahisi kuna umuhimu humu ndani ktk profile zetu kuwe na sehem yeny kuonyesha jinsia zetu,
majina pekee na picha...
Habarini za wakati wana MMU,
Hope you are fine.mbele yenu ni mfanyaji wa research zinazohusu takwimu zilizosahaulika kama hii hapa....
Ukiwa na mwanamke mzuri ni wazi kuwa kwa siku lazima...
Kwa member wote wa JF ;tarehe kama ya leo ; siku ya jumatatu majira ya saa mbili na nusu usiku miaka kadhaa iliyopita katika hospital ya mkoa wa Tanga (Bombo) ndio Mr. Tee Bag alizaliwa.
Kwa...
Mdau mmoja maarufu hapa jf alikuja na thread HII HAPA.
Wanajf wa dar ndio walokuwa kwenye nafasi nzuri ya kuona plate number ya KASINDE mtaani.
Mrejesho wake vipi? Yupo au hakuna aliyepata hiyo...