The caski...pale rock mall[raha ya pale kuna vicheche wakutosha, pia unaweza kupiga mzigo kwenye gari pale parking]tatizo wa hudumu wapale ni mazombi sana unaweza kuangiza bia au chakula ukakaa...
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa injili ya Yesu Kristo iletayo wokovu! Katika mishemishe zangu mara nyingi naungaunga na usafiri wa mwendo kasi katika moja ya stendi zenye watu wengi hapa Dar...
Kwa wale wote mliozaliwa Narumu tukutane hapa, ruksa pia ambao hamkuzaliwa ila wazazi ni Wanarumu, mimi nimezaliwa Narumu kijiji cha Usari Isareni, Mzee Ketani Mambito ni jirani yangu, Narumu...
Kuna hii tabia ya hivi viemolo kupenda show off mbele ya wapenzi/wake zao pindi vinapokua viko karibu na sisi wanaume warefu,hapa hotel nilipo kuna kimoja kimeingia na sijui mke au mpenzi wake...
Kama mjuavyo utundu wa watoto kuchezea simu
Juzi kati kaka shika kiswaswadu changu anacheza game
Na fikiri aliingia pia upande wa kuseti tarehe na mwaka
Akaseti mwa 2099
Massage zilivyo ingia...
6 Usile chakula cha mtu bahili, wala usitamani mapochopochorts yake,
7 maana moyoni mwake anahesabu unachokula.a Atakuambia, "Kula, kunywa!" lakini moyoni mwake hayuko pamoja nawe.
8 Utatapika...
Kuna sehemu nimeona tangazo la kazi, na hakuna mtu aliyeomba; sasa najiuliza hawa wanaosema ajira hakuna, wanataka ajira zipi?
Wanahitajika:-
Wachoma mahindi nafasi 2000
Watembeza kahawa maeneo...
Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂
Pale Hyatt ni hoteli lakin...
Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani.
Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku...
Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo.
Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni...
Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau...
Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:-
''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje''
''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome''
''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha...
Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa 🔥🔥🔥. Kwa wana Mwanza ni kiwanja...
#Roadlife. Tuikemee vikali tabia ya baadhi ya madereva na hasa wa malori ya kunywa juice au soda halafu hawamalizii kisha kutupa hizo chupa zikiwa na juice au soda ndani yake,hii tabia si nzuri...
Ilikuwa saa tatu usiku, nakumbuka nilikuwa room nimechill kisha nikaamua niende nje nijiburudishe kidogo. muda huo wazazi walikuwepo sebuleni wakitazama TV, hivyo nilipaswa kuwa mwepesi, nitoke...