Kwa miezi kadhaa sasa kama unafuatilia posts za Clouds FM utagundua kwamba watu wengi wanalalamika kupotea kwa redio hiyo kwenye mikoa yao kwa muda mrefu.
Miongoni mwa mikoa ambako Clouds...
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya viwanja vya starehe, Tukutane hapa
Kupeana updates za viwanja
ubora wa huduma zitolewazo kwenye viwanja
viwanja vya kukwepa...
Nije moja kwa moja kushare na nyie kilichonileta humu leo.Nimepata bahati ya kutembelea nchi za ulaya, kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo tamaduni zao. Kuna mambo mbali mbali ya kuvutia na ya...
Leo nimemkumbuka Mtangazaji wa enzi hizo kutoka KBC (Kenya) Leonard "Mambo Mbotela ni mtangazaji mashuhuri wa redio nchini Kenya. Tulimjua haswa kupitia kipindi chake mashuhuri cha "Je, hii ni...
Hawa wanyama wa ajabu sana waharibifu mpaka wanakeraa, wanaweza wakaingia kwenye begi wakaacha vitu visivyo vya maana wakatafuna vyeti vya shule au hela. kwakweli mimi nikiwaona hawakai kwa amani...
Kutokana na kuonekana mzee, madaktari vishoka wamenishauri nipunguze au niache kunywa pombe kwa sasa ili mwili uweze kujijenga vizuri, na kurudi utotoni.
Sasa, nina mwezi mmoja nipo ugenini na...
Niliacha kunywa bia baada ya kufikia hatua ya kunywa kreti moja ya castle lite bila kulewa ikabidi nihamie kwenye pombe kali.
Kama hizi:
K VANT
KONYAGI
BEFFEATER LONDON
THE FAMOUS GROUSE
JAMESON...
"Pakiwa ndipo unapolala humo humo unatunzia na vyombo vyako basi hicho sio chumba hio ni stoo" alisema kijana mmoja graduate huku akiwa ameegemesha miguu miwili kwenye sofa la shemeji yake
Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza.
Top 5 zangu
Million years ago - Adele
Sikati Tamaa - Darasa
Moyo Wangu - patrick kubuya
Voilà - Barbara Pravi...
Wakuu kwema?
Iko hivi mwaka jana sikulipa kodi ya nyumba baada ya kushindwa kumpata kwenye simu mwenye nyumba.
Yeye huwa anakaa singida na Mimi niko Geita na nyumba yake nikihopangishwa Iko hapa...
Duh nimesoma hii comment ya LIKUD akielezea hatua aliyo ichukua baada ya mpenzi wake kuja na " behewa" kwenye mtoko nacheka mpaka machozi. Comment yenyewe ni hii hapa chini👇👇
Staff members wanapiga kazi kubwa sana, leo nimejisikia tu kuwapost😁.
Tag staff member wako mmoja unaemkubali sana, hata kama ashawahi kukufutia uzi au kukulamba block/ban then ukamjua we mtaje...
Tumechoka usumbufu usio wa lazima, now ni Tit for Tat😂, ninyi si mabingwa bwana basi twendeni hivyo tu hakuna kujaza manamba yasio na faida, sms eti "VIPI NIAMBIE" khaa🚮
2025 nimeamua ukiomba...
Unapojiona upo kwenye faragha chooni unajikakamua gogo litoke mpaka macho yanakutoka kamq baunsa la amadou amadou ujue hauko peke yako unakuwa na mwenyeji wako.
Wakuu
Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.