Mimi bwana enzi hizo nikiwa nimehamia Dar nikiwa naishi kwa kaka yangu kukawa na shemeji yangu nae ana mdogo wake wa kike tukawa tunaishi nyumba moja.
Mimi geto langu lilikua banda la uani na la...
Wakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya...
Kama mbwai na iwe mbwai. Mara nyingi nimesoma kuhusu wanaume wa dar na vituko vyao. Nimejaribu kuangalia wake zao wakoje. mmmh mie nimegundua haya, sijui wewe umegundua nini.....
Wanaagizi...
Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje? It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.
Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty...
Nimeikuta mahali hii, soma mpaka chini Kisha tafakari.
Francis Chacha Wambura
Kazi; Mkulima
Umri: 98
Wake: 6
Watoto: 47
Wajukuu: 86
Sababu ya kifo: uzee
Lazaro Olemgbe
Kazi: Seremala...
Hi.
Ushauri gani unaweza kumpa binti aliye in her early 20s ambaye anajiandaa kuhamia mji mkubwa kwa mara ya kwanza, kujihusisha na kazi ya waitress asiye na exposure ya maisha yoyote? Anajiandaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.