JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nikifa MkeWangu Asiolewe ukikaidi utapigwa2 Utajua wewe Utajua ujui Salary Slip Imeloa
33 Reactions
195 Replies
4K Views
Watoto wa 2000 wanadhani hii ni cake
5 Reactions
19 Replies
599 Views
Mida ya kupumzika na kutuliza akili hizi ndo nyimbo pendwa 1."sacrifice by Elton John 2."Sexual healing" Marvin gaye 3."kenny G " forever I love 4 "Joe ".i believe in you 5. "Ruben studdard" I...
2 Reactions
30 Replies
566 Views
Kutoka kwenye msemo wa Charles Bukowski "Ukiwa hauna mtu anayekuamsha asubuhi, hakuna anayekusubiri usiku, ukiwa unafanya unachotaka huu tunaita ni upweke au uhuru"
5 Reactions
49 Replies
938 Views
Nikamwomba msahama hakuelewa kikao kikakaliwa nikaomba msamaha nikasingizia kuwa siku hiyo nilitumia bangi. Wewe ilikuwaje?
5 Reactions
16 Replies
476 Views
Alikuwa rafiki yangu sana mshikaji sana kila siku ilikuwa lazima kujuliana hali mda mwingine kutembeleana kabisa ushauri mwingi kiufupi ushakiji ulipitiliza tukawa kama ndugu Maisha yaliendelea...
4 Reactions
48 Replies
691 Views
Kamjadala kamezuka hapa... Eti kati ya hawa watajwa ninani anapenda sifa zaidi?
3 Reactions
104 Replies
22K Views
NIMELIWA MILLION 2 KWENYE AVIATOR
3 Reactions
45 Replies
799 Views
Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina...
3 Reactions
15 Replies
303 Views
mzabzab Poor Brain Swahili AI min -me Shimba ya Buyenze PSL god Red black naelewa mambo yenu ila huu ni mwaka wa kujenga, fungeni macho 😂😂😂
4 Reactions
4 Replies
160 Views
Niko uyole hapa napiga vyombo Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/= Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/= Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/= Boda bei ni...
34 Reactions
164 Replies
4K Views
Kuna Watu Ni Bure Kabisa! 😀😀 1. Unapewa lift unamwambia mwenye gari apunguze sauti ya redio na wakati kuna ngoma yake anasikiliza! Wewe ni bure kabisa😀! 2. Unaingia kwenye ofisi ya mtu, simu...
12 Reactions
37 Replies
683 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee Mchana mwema
5 Reactions
68 Replies
2K Views
realMamy . Picha bora sana hii tuliopiga ngoja niweke status. PSL god min -me Poor Brain achenni mazoea na mammii
16 Reactions
66 Replies
1K Views
Zebra Question by Shel Silverstein. I asked the zebra Are you black with white stripes? Or white with black stripes? And the zebra asked me, Or you good with bad habits? Or are you bad with good...
4 Reactions
2 Replies
135 Views
Wadau, kuna kijana amenifuata huko DM na kuniita lishangazi kwasababu amesema nimejiunga humu wakati yeye ndiyo anaanza shule ya msingi. Sasa najaribu kupima, je natosha humo kwenye ushangazi na...
15 Reactions
114 Replies
2K Views
Back
Top Bottom