Wakuu za Leo,
Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa.
Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi...
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza!
Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza!
Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na...
Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako.
Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa...
Mapenzi yafutwe!
Kusiwepo na kitu kinaitwa mapenzi hapa duniani! Kisitambulike duniani na juu kwa...
Ndoa isitambulike kisheria wala kidini!
Kuzungumzia Mapenzi iwe haramu/kinyume cha sheria na...
Nianze Kwa kushusha lawama nzito sana Kwa wazazi jirani zangu ambao mlikuwa mnawasomesha watoto wenu Kayumba kuanzia primary huku Mimi nikichoma hela Kwa kumsomesha huyu dogo shule ya EM kuanzia...
Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.
Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco...
Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake.
Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete...
Nyie mie jamani nampenda huyu baba. Nampenda sana. Kuna mda nikimuangalia tu nawashwa. Amefanyika neema na baraka sana kwenye maisha yangu.
Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au...
Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani.
Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai...
Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama...
Miss Natafuta Na Sky Eclat wanaujua muziki wangu PM.
Baada ya kupigwa kibuti Na Mamndenyi nilipagawa kabisa, hasira zangu nukazihamishia PM kusakasaka penzi jipya.
HR 666 njoo let us share the...
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi...
Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni.
ANGALIZO
Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.