Mmehabarikaje Wandugu,
Nimerudi niliandika uzi kuomba uzoefu kwa waliozoea kusafiri kupitia Mbuga ya mikumi na mimi nilikuwa nataka kupita na Mwanandama wangu.
Niliondoka Moro saa 8 kwa speed ya...
Sina muda mrefu toka nimejiunga humu, kitu nilichogundua humu Jf kuna misamiati inayotumika humu inafurahisha sana ambayo kuisikia sehemu nyingne ni kazi.
Mfano 'kuchakata mbususu', hili neno kwa...
Sina haja ya kusalimia,
Kama Manchester City tukifungwa na Arsenal naomba nipigwe ban ya mwaka mmoja.
WE ARE CITIZENS.
Moderator Moderator Mkuu @Mexence Melo Active naomba mnizingatie.
VITU USIVYOVIJUA KUHUSU SIKU MOJA.
1. Ipo siku utafunga mlango wako lakini utashindwa kuufungua.
2. Ipo siku utafua nguo zako lakini hutaweza kuzivaa
3. Ipo siku chakula kizuri kitapikwa lakini...
Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha. Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasahau...
Kuna watu wanalaumu matajiri kwamba wanawadhurumu Maskini. Lakini kimsingi maskini ni mtu asiejiweza kwa lolote, sasa itakuaje adhurumiwe? Au kutomsaidia ndio kumdhurumu?
Ushauri wangu kama uko Nyumbani na una Housigeli ambaye ama Wewe Baba Unambandua au Mwanao Anambandua au Nduguyo hapo Kwako na hata Shemeji yako Anambandua tafadhali tumia Condom au Waambie Wavae...
Nipo home leo na kifurushi cha decoder kimekata nkasema ngoja niangalie hizi local channels, ghafla nipo ITV nakutana na hicho kipindi. Sikuwahi kujua msemo wa "kula chuma hicho" umeanzia wapi...
NI jambo la kawaida kwa wanaume kutojali mambo yanayohusu urembo wakidhani ni kwa ajili ya wanawake tu, kitu ambacho si sahihi. Muonekano mzuri usoni kwa wanaume husababishwa na kujali vizuri...
Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es...
Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu.
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua...
Nimefungua uzi huu mahususi kabisa kutokana na uchovu unaotupata kwenye mida flani hivi makazini. Mara nyingi ikiwa bado masaa mawili au moja kutoka.
Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.