JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna katabia fulani ni common sana kwa Wanaume au watoto wa kiume. Mtu kama kapata Papucci anaenda nayo Guest/ Lodge akifika kule kwenye Register ya wageni anaandika Jina la Msela wake na Sio...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
*Nawasalimia[emoji68]Wasichana[emoji68] wale mnao Google chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,* *Nawasalimia WASICHANA weupe[emoji68] mitandaoni ila mkiwa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu nipo saiv na dem gheto sijui kaja gheto kutafuta nn maana hata papuchi hatoi sasa hapa nimejaribu kutumia minguvu kama mara mbili hv akaanza kulia nikamuonea huruma nikamuacha mara kidogo...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Shalom waisrael wenzangu! Kama umebahatika kuhudhuria projects za wanaJF mara kwa mara mfano ile ya kutembelea mahosptalini nadhani hautapata shida kuthibitisha hoja yangu, Je wekundu huu...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Jamani kweli siku hazigandi. Nakumbuka enzi hizo hakuna utitiri wa redio stations ukitaka kusikiliza huna option kama kipindi kilichopo hukipendi uzime tu radio. Hata mfumo wa vipindi ulikuwa...
14 Reactions
311 Replies
29K Views
Uzi huu nautuma kwa vijana wakuanzia 1990. Tumekuwa tunaendekeza urafiki na matani yasiyo ya msingi na kushindwa kukubaliwa kimapenzi na watoto wa kike. Mabro wanawabeba kizembe sababu wapo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi kuna style gani ya kuwang'oa warembo wa badoo maana kila ninaye mtext anajibu moja, then makavu unamuona online halafu hawajibu text sijui nitumie style gani.
1 Reactions
27 Replies
6K Views
A man killed himself and ran away. photos coming soon.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A.K.A (A.K.A Worldwide) ni msanii maarufu kutoka Cape Town South Africa ambae miezi michache iliopita alialikwa jijini Dar es salaam kuperform kwenye party ilioshika headlines kubwa; Zari All...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtu anazuga hali viazi vitamu halafu ukimpa chipsi anakula wakati chipsi zenyewe ni viazi!!!
0 Reactions
1 Replies
552 Views
Hata watangaze nia watu mia nane,rais anatakiwa mmoja tu! Kati ya hawa kura yako unampa nani? 1. F. Mbowe 2. B. Membe 3. Dr. Slaa 4. l. Lipumba 5. J. Makamba 6. Z. Kabwe 7. E. Lowassa 8. M...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Hivi jf ina jumla ya members wangapi?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Zifutazo ni tabia za vijana wanaoendesha gari za shemeji zao:- I. Lazima washushe vioo mpaka chini kabisa kisha wanaweka kishoka. II. Lazima waweke sauti kubwa sana ya radio yaani makelele...
8 Reactions
53 Replies
7K Views
Wakuu, Kwa unavyodhani, baaada ya Watanzania kadhaa kutangaza nia, yupi anasikiliza wimbo gani muda huu ama ameweka ringtone gani kwa sasa? Unadhani kati ya wafuatao yupi anasikiliza wimbo upi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Goodmorning all
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Habari zenu ndugu zangu wa JF, Kama tunavyojua umu JF wengi tunatumia ID fake na niwachache sana wanaofahamiana ndani na nje ya JF.Unaweza kuta mtu unamfahamu nje ya JF, lakini ndani ya JF...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Jana nimeenda kuonana na mwanamke mmoja ambae tumekua marafiki kwa mwezi mmoja ndani ya JF, tulishapeana namba za simu siku nyingi na huwa tuna chat whatsaap. Sasa nikaingiwa na uroho wa kutaka...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Duh leo nimekaa nimemis pombe za bure leo weekend watu mnakaje nyumbani tokeni ata njee tu mtembee labda utapata pombe za bure mimi nipo hapa kitambaa cheupe nasubilia 😂
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Umofya kwenu members! Umofya tena !!! Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni...
21 Reactions
204 Replies
6K Views
Najua itakua msaada na kwa wengine pia hofu yangu nahisi hawa watu wakiwa na tabia hizi ndo mwanzo wa mpasuko kwenye ndoa Asante
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom