JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Cc Castr
8 Reactions
90 Replies
6K Views
Napenda kutoa salam kwa ndugu zangu humu jukwaani vijana kwa watu wazima. Moja kwa moja kwenye mada...Maisha yana Mapito mengi sana. Lakini Mimi nitawaletea vituko, nilivyowahi kuvifanya...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna Mmoja nimepishana nae Stendi ya Makumbusho nikitaka kupanda Gari za Mbagala Rangi Tatu na kwa jinsi yalivyonivutia yalivyokuwa yanatikisika Kiushawishi wa Tendo Pendwa la Kibaiolojia...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Sikuzote hawa wenzetu huongea kinyume, ukikutamkia anakupenda jua hupendwi,akikutamkia hakupendi jua unapendwa. Jitahid umakinike na matendo yake na sio maneno yake wanaume weng mmeingia kwenye...
1 Reactions
4 Replies
383 Views
Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua...
5 Reactions
3 Replies
374 Views
  • Closed
mahondaw when i think of you... I long to feel your touch, am whispering in your ears, words are old as time, words only you hear because are mine... mahondaw remember the very first day i...
8 Reactions
203 Replies
18K Views
Diagnosis iko hivi; Stress level iko juu Wana msongo mkubwa wa mawazo Hasira kali iliyo changanyika na njaa kali; and Kujinyonga ni most natural and probable consequence. Mungu awafanyie wepesi.
6 Reactions
22 Replies
835 Views
Nchi ngumu sana, kwasababu kama tatizo dogo la mfumo wa umeme limeshindikana kabisa je, hiyo treni ya umeme usalama wa abiria utakuwaje? Ni maswali tunapaswa kujiuliza kwa upana zaidi na sio...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kaunga King'asti Kongosho (an apology to the perverts who thought otherwise:confused:) Hawa wadada/wabibi/wamama wananivutia sana na nimechoka kuunda illusions kichwani mwangu. Kila mara nionapo...
8 Reactions
151 Replies
12K Views
Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu? Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua...
2 Reactions
97 Replies
3K Views
Kwenye maisha hasa ya mahusiano hakuna demu mkali, na ukiona demu ni mkali ujue sio wako. Pia hakuna asiye mwongo we chagua mtu ambaye utavumilia uongo wake. Kwaheri.😂😂😂😂😂
4 Reactions
34 Replies
869 Views
Hapa nimeshika mbu kama watano, sema watu nimewatafuna. Ili nsimwachie wenzie wakaj kumbeba wakampeleka kumtibu. Nikitafuna wengi ntapata malaria??
1 Reactions
20 Replies
732 Views
Elezea kisa kilichokukuta mpaka ukasema hutakuja kuigusa pombe ya aina fulani
4 Reactions
366 Replies
71K Views
Chemsha bongo: Ukipewa million 100 saa 6 usiku kwa masharti kuwa unatakiwa utumie hizo hela ndani ya usiku huo huo kutafuta nyumba na uhakikishe umehamia. Nyumba iwe kali na iwe na kila kitu...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Imefikia mahali hadi nakosa raha kabisa yani watu niliwaamini kama ndugu zangu humu JF leo wananitenga nakunipakizia kashfa mbaya mbaya na chafu. Mimi kama kijana nilikua sitaki kuoa nikuwa...
5 Reactions
65 Replies
3K Views
Jambazi akasema "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini (HII INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria) ••• ••• Kuna dada...
8 Reactions
14 Replies
730 Views
TANGAZO KWA UMMA Katika MSIMU huu wa SIKUKUU nasikitika KUTANGAZA kuwa nimesitisha KUTONGOZA MSICHANA yeyote yule hadi tarehe 5 JANUARY Naomba RADHI kwa USUMBUFU wowote UTAKAOJITOKEZA! Wako...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mpo nimewamisooo??? Leo sina maneno mengi kazi zimenibana Ilaa nilichokuja kugunduaa ni kuwa wanaume wanaojuaa mapenzi na marijali asilimiaa kubwa ni kuanziaa 35yrs n above ndo wanaojuaa...
4 Reactions
192 Replies
12K Views
Back
Top Bottom