Kipindi cha siku, Mwezi au mwaka kwa bindamu mkamilifu ni muda mrefu sana wa maisha yake.
Mtoto wangu leo ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake.
Mapito ya magonjwa, na kama binadamu...
Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia.
Eti dada samahani, eti kwa...
habari zenu wadau.
najua kila mmoja yupo katika harakati za kusongesha gurudumu la maisha mbele na kuyafikia maendreleo yake na maendeleo ya nchi
tupige kazi kwa bidii,achana na kichwa habari cha...
Wazee wenzangu habarini na amani iwatawale
Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa.
Mzee Tupatupa
Ritz
Mwanakijiji
Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa...
Kwema Ndugu zangu,
Yani unaweza kumeet na mtu au watu ambao wamekuzidi kila kitu, lakini wakaamua kukuchukia tu bila hata sababu yeyote.
Hata ukujitahidi kuwa tendea mema kwà HEKIMA, BUSARA...
Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani.
Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi.
Maagizo yalisema...
Nakumbuka kuna kipindi nilikua natafuta kazi nko jobless mambo hayaendi, nyenzo kubwa ilikua vocha ili niweze ku access Internet lakin kuna mda nilikosa hyo vocha ili niendelee na mapambano...
Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.
By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga...
Dodoma , the Central Corridor and City Capital of Tanzania…
Watu (wapyawapya) wako bussy na hekaheka ni nyingi sana kila kona ya Jiji la Dodoma. Hakuna kinachoshindikana.
Kuna mabinti wengi sana...
Today is the start of something beautiful! You have been my closest and dearest person for a very long time, I have seen your best side and your worst. I have been through it all with you and for...
A. MIAKA 17-19
1. Teacher wa History
2. Mwal Tuition
3. Boda Shule
4. Mkaka wa Chips
5. Baba, mama etc
B. MIAKA 20-25
1. Baby, sweetheart, love
2. Namba NIDA
3. Mate Mzumbe
4. Lecturer Mashauri...
Habarini wakuu,
Kama title ilivyo clear, Kuna members fulani huwezi kuwakosa kwenye nyuzi fulani wanazozipendelea na mara nyingi utawaona kuchangia na au kuanzisha nyuzi zinazofanana na hizo,ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.