JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu. Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati...
11 Reactions
94 Replies
3K Views
Habarini wana Jamii Forums Leo nimekuja na hoja kama ilivyo apo kwenye title. Tunajua Tanzania kuna misemo mingi ilishawahi kutokea na hivi sasa kuna misemo ndio Inavuma 'WAJUMBE na USINIFOKEE'...
8 Reactions
205 Replies
17K Views
1. CHOKED PROF A man named Daniel Du Toit was giving a lecture to his students about death and warned his students that death could strike anyone at any time. He then took an innocent, little...
3 Reactions
1 Replies
401 Views
Wakulungwa, Hivi serious unatoka unaenda agiza serengeti lite/castle lite/kilimanjaro lite na zingine zinazofanana na hizo? Kweli? Kweli? Kweli? Hata kama pesa ni yako, hizi lite si sawa na maji...
6 Reactions
114 Replies
3K Views
Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi? Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe...
9 Reactions
82 Replies
3K Views
Wakuu, Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake...
6 Reactions
197 Replies
11K Views
UMRI NA PHONEBOOK/CONTACTS A. MIAKA 17-19 1. Teacher wa History 2. Mwal Tuition 3. Boda Shule 4. Mkaka wa Chips 5. Baba, mama etc B. MIAKA 20-25 1. Baby...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto...
15 Reactions
162 Replies
4K Views
Hellow african wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini? Au bado unasave namba ya single mother na videmu...
14 Reactions
336 Replies
6K Views
Kwanini unaendelea kugawa namba kwa wanaume wanaoonyesha nia ya kukutaka kimapenzi wakati tayari uko kwenye mahusiano na mwanaume wako?
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Mimi naishi na familia yangu tumepanga, basi bhana jirani yetu ni handsome sana ila mkorofi na mchungu but anapendeza sana . Siku Moja alinikuta na mwanaume best yangu akawa Hana amani amezoea...
13 Reactions
112 Replies
5K Views
Je, mnakumbuka wakati ule ukitaka kujua saa ngapi, unanyanyua simu yako na kuzungusha number na kusikia sauti ikikujibu "Usikiapo mlio wa tingo, hii ni saa fulani dakila fulani na sekunde fulani"...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadada, msijirahisishe hivyo Kuna Mdada aged around 25, usiku huu simjui hanijui, kaning'aninia nimuoe ni mmarangu ana watoto wawili, Anataka nimuoe tu, Nimechukua namba zake Ila mpaka muda huu...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
• Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha. • Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo. • We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda...
1 Reactions
3 Replies
458 Views
Good morng Africa Ivi juma pili natakiwa kufanya nini mpaka saa sita usiku nipeni ratiba kanisani nishatoka [emoji849]
3 Reactions
61 Replies
1K Views
Only Legends ndio wataelewa hili jibu.
1 Reactions
13 Replies
586 Views
Habari wakuu.. Msaada kidogo naombeni, lodge/hotel nzuri Mwanza mjini kati kwa gharana za 30k-50k
1 Reactions
2 Replies
580 Views
Kuna bwana mmoja nilikuwa naishi naye maeneo ya Msasani beach, akiwa hajalewa hajui kabisa Kiingereza ila akinywa anasahau kabisa Kiswahili!
7 Reactions
14 Replies
790 Views
Natafta mchumba [emoji23] Au Basi natafta HELA wanangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] What will you do? If you notice the breath you...
1 Reactions
8 Replies
393 Views
Back
Top Bottom