Happy mother's day.
We love you, our mothers, and we will continue to care for them and cherish them all the days of our lives. May God give our mothers a long life..
let's all say Amen.
jana nchi ilisimama kwa masaa kadhaa baada ya muwekezaji mkubwa kwenye suala la mitandao ya kijamii kutimiza miaka mitatu ya uwekezaji baada ya kutoka ulaya na Marekani na utajiri wa kutisha...
Hello members!! Nimekua nikisoma id za members kwa kweli zingine zinafurahisha, zinahuzunisha na kusisimua pia.
Nimeona kuanzia uzi huu maridhawa kabisa mwana jamii pita hapa tueleze maana na kwa...
Habar wana JF
Tunamshukuru Mungu anaendelea kutupigania Finally usiku wa kuamkia leo wife amejifungia na tumepata mtoto wakiume na wote wako salama mama na mtoto tunashukuru Mungu
Kwa heshima...
(1) Mbona Taifa Stars haichezi na Yanga?😂
(2) Mbona Bocco amefungia kichwa na ni mpira wa miguu😂
(3) Mbona refa hawampi pasi na amevaa njumu😂
(4) Mbona mchezaji akifunga golini kwake...
Nikiwa lecturer bora au kwa namna nyingine nikiwa mmoja wa wafanyakazi bora wa nchi ya nchi ya Russia hatimaye wiki iliopita nimeweza kutimiza ndoto yangu ya kukutana na Rais wa Urusi bwana...
Hii couple kiukweli naionea gere Sana couple Bora kabisa toka JF ianze inafanya vizuri Kama ile ya nifah na mume wake mzee wa ma story.nataka kwanza niwe na mpenzi Kama mahondaw yaani full Raha...
Za ndani kabisa nimepewa info kwamba Muammar Gaddafi alijificha kwa membe lindi kule rondo platue kule nasikia pana bonge la handaki sasa gaddafi alijificha kule alipokaa akaamua aende nchi kwake...
Jamani nini hiki? jana asubuhi nipo faragha wakati nashughulika nika sweat, hali hii ilipelekea kushangaa mno.
Sikushangaa ku sweat ila ni kutoa vichwa vya dagaa wabichi badala ya maji maji kama...
Wasukuma walinigwaya pamoja na kunikaribisha kwa ukarimu mkubwa[emoji1545].. Nadhani tatizo lilikuwa ni lile fuko la tunguli nililo share picha zake kwenye ile post [emoji1787]
Fuko lilifika...
Habari wadau mabestito wa zamani na wasasa (wanasema ya kale ni dhahabu)
Ninafuraha iliyoje kumtakia mwandani wangu kumbukizi ya kuzaliwa kwake, Mungu ampe miaka mingi ya ubabu kabisa aje kusahau...
Nimebakisha kilometres 400 hivi kufika.. Ndio nimetoka Singida muda si mrefu
See you there..! When you see me...! Over the top[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Najua hapa wengi mtabisha but ukiacha watu wa mataifa mengine, watanzania wengi wanatamani wafike Mkoani Arusha tofauti na mikoa mingine. sio kwa sababu ni kuzuri sana but kuona kile...
Utafiti ulio rasmi unaonesha asilimia 50 ya wabongo tunatoa harufu kali kwenye midomo.
Source: Gazeti la Mwananchi.
My Take:
Hii inapelekea either watz hawapigi mswaki mara 2 au 3 kwa siku au...
Napenda kutumia nafasi hii kuwaasa wananchi wachukue tahadhari kwani Simba wamekuwa wazururaji tena hawana lengo wala shughuli yoyote ya maana wanayofanya mjini na wakati mwingine wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.