Nimekaa nikafikiria hili swala. Kuna majina fulani ya kiislam hayo hata aitwe nani basi utakuta ni binti mwenye tabia nzuri sana. Ila pia kuna yale majina ambayo menyewe tu yanamaanisha fujo...
Mapenzi yana nguvu sana. Yule ninaye mopenda toka moyoni nimemtumia Heri ya Eid tangu Jana saa 2 usiku lakini wewe ambaye umejifaragua na kunitumia salaam imekula kwako. Unatumika tu kama ATM...
Kwanini Wanawake huona Aibu Kuvua Nguo za Ndani wawapo Faragha na Wanaume, ila wakiwa Wanazinunua huko Mitumbani huwa hawaoni Aibu?
Karibuni sana mnielimishe juu ya hili.
Katika pita pita yangu nilikutana na jamaa mmoja ambaye alipata hudhuriwa na Dada mmoja huko U es Of Ey---Siku ilikuwa nzuri na Stori za Bongo na hata za U es of Ey...Ikafika saa za kula, na...
Kwenye miaka ya 80 kulikuwepo jambazi lililokuwa linaitwa Nyau.
Mnalikumbuka hili jambazi? Sasa hivi liko wapi?
NB: Sweetlady huwezi kulijua hili li Nyau. Wewe bado ulikuwa ka baby.
Wakuu mimi sio Brand Ambassador wala sina interest yoyote na hii beer, isipokuwa tu naipa sifa kuu kwa vile ni one of the finest beer kwenye industry.
Nimepitia Beer kadhaa hatimae nimeamua...
Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30...
Nimefika mkoa mmoja hapa kutoka Dar, sasa muhudumu wa basi nimetokea kumuelewa sana maana ni mrembo halafu mzigo mashaallah! Tulivyoshuka stand ya bus mida ya Saa 5 usiku nikajifanya mimi mgeni...
Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama.
Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
Ni jambo la kumshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya upendeleo..Sifa,Shukrani na Utukufu ninakupa wewe uketie mahali Patakatifu..Amen
Happy birthday πππππ to me kwa mara nyingine tena.
Happy...
Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando.
Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali...
Asante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa.
Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema...
Glory is to God I am plus one today, I pray that the Lord increase me in success and inspiration so I can lead a better life than ever. Happy birthday to me.
Zawadi napokea PM-pesa ππ
Ninamshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo nikiwa na afya na uzima, nimegundua kwamba uzee unaniandama maana mpaka sura imeanza kuota makunjo
What makes me happy ni kwamba leo June 15 tunaugawa...