JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Natarajia kula eid huko gas city. Wapi kuna hotel nzuri ya 80-100k karibu na beach nije kuenjoy na warembo wa kimakonde
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kila mtu anapitia ya kwake na kwa muda wake , vitu vingi vinatukwamisha ,vingi vinatujenga vingine vinatuabisha vingine vitupa moyo na furaha. hivi kwamba hali yako ya maisha ya sasa ungeambiwa...
9 Reactions
292 Replies
21K Views
if women would just keep quiet there won't be any problem in family. A wife and husband visited a farm, they saw a bull having sex with cow. The wife asked the farm manager.. "How many times...
16 Reactions
40 Replies
4K Views
Girls of nowdays will bleach their bodies even brighter than their future . Where they will be having black hands, white face , black foot and they will sit on front of church and be singing And...
4 Reactions
14 Replies
847 Views
Jana nilikuwa na safari ya Dsm - Dodoma ndani ya basi la abiria. Ni basi la daraja la tatu, basi la watu wa kawaida tu. Wakati tunaondoka Magufuli stendi, mvua ilikuwa inanyesha sana. Ndani ya...
1 Reactions
5 Replies
542 Views
Yaani sijui kwa nini salon za kike zinasifika sana kwa umbea, kila atakayepita macho nje kumchungulia na kumchunguza wajue mtu kavaa nini, anakwenda wapi yaani ni vituko. Sasa juzi nilikwenda...
2 Reactions
5 Replies
506 Views
Ukiona demu wako anawasiliana na Ex wake bro shituka, unapigiwa hapo[emoji23][emoji23].
3 Reactions
20 Replies
803 Views
Hapa ndipo nathibitisha kuwa mwanamke ni pambo la dunia, moja kati ya mapambo manne yaliyoanishwa na mtoto wa Nasib kisanaa. Ukikutana na mwanaume tall and dark akiwa ndani ya jacket ambalo ni...
2 Reactions
2 Replies
409 Views
Nilimuamini, nikamthamini, nikampenda kumbe mke wa mtu.
24 Reactions
142 Replies
6K Views
Huyu Binti wa miaka 20 pesa anazipenda lakini kutoa mbususu kipengele. Ana kiboy chake wanazinguka nae kila Kona kakitongozwa kanakubali. Kanaomba pesa kila kukicha lakini mbususu hakatoi.
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Naona hiki kiti huko TikTok wamekifanyia mjadala na kukihusisha na ufunuo kwa Biblia, kina maana gani?
2 Reactions
2 Replies
441 Views
Pole sana wasomi wa JF, wasomi uchwara, wazee wakukaza mafuvu, endelea kusubiri ajira. Umesoma ili ukomboe jamii ila leo unategemea jamii ikukomboe 🤔. Bora kukosa elimu ukawe na akili, kuliko...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Wasalaam Usiku wa kuamkia leo niliota nimevamiwa na majambazi, nikaamka kuangalia saa ni saa tisa na dakika nne usiku. Nikatoka sebuleni nikaona mtu ananifanyia ssssssssssssshhhh kuashiria nikae...
5 Reactions
216 Replies
6K Views
Kiukweli daah kunaa watu wana bahati sana hapa duniani Nimekua nikisaka mitandaoni nipate japo rafiki tu wakishua atleast tukipiga story tuki flirt nijue na flirt na mtu wa next level naamini ilo...
5 Reactions
73 Replies
3K Views
Hivi inakuwaje mpenzi wako anakupa hela tena 10k na anakudai? As if ulimwambia akuazime? Na maneno juu ya karaha [emoji4]kweli tukue tuyaone. Nyie mtutunze tu msipate makasiriko.
8 Reactions
84 Replies
4K Views
Nakumbuka nilipokuwa mdogo, babu yetu alikuwa na utaratibu wa kuwakusanya wajukuu zake wote, na kuwasimulia hadithi mbalimbali; na masimulizi hayo yalikuwa yakifanyika huku tukiwa tunaota moto...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu jamaa Tania yake ni kufungulia habari za manabii tena kwa sauti kubwa baada ya kuwatazama wale wa mama pale mbele ya bucha yake niliwaona kabisa wakionyesha kukerwa na hayo makelele ya radio...
2 Reactions
3 Replies
384 Views
Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Hi, Tabia zako zinatosha kukuelezea wewe ni mtu wa aina gani. Imagine mgeni anafukuafukua msosi kama yuko mgodini kutafuta nyama, lengo lake ni nini au anataka wenyeji tule pilau kavu? Binadamu...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Back in 1994, Gabriel met Christina at a party and they really hit it off. They ended up getting married even though she was 30 years younger than him. They were happily married for 20 years...
2 Reactions
0 Replies
441 Views
Back
Top Bottom