Ninayo picha yake na nilitamani niipakie hapa lakini kwa bahati mbaya sikupata idhini yake. Alikuwa na rangi ya Maji ya kunde hivi, Mzuri wa sura (ya duara) na macho makubwa meupe ya mviringo...
25. Get Your Tongue Outta My Mouth 'Cause I'm Kissing You Goodbye.
24. Her Teeth Was Stained, But Her Heart Were Pure.
23. How Can I Miss You If You Won't Go Away?
22. I Don't Know...
Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
Karibu useme ukweli wowote usiosemwa au mwambie mtu yoyote ukwel kumhusu
Naanza Mimi
Tanzania upinzania Bado hawajajipanga kupokea nchi, wakubwa wengi machawa wa chama tawala. Tuendelee kuiamin...
Hellow African
Kuna watu humu mmenipa jina la super mario kila nako pita huku naitwa super mario futeni ilo jina wachumba wananikimbia kisa wana mmenipa jina la super mario
Kwa namna moja ama nyingine, kuna baadhi ya mahitaji yanatuwia ugumu kutamka kwa muuzaji mbele ya wateja wengine
Ukimuona mteja anakupisha uhudumiwe kwanza wewe, usidhani nia yake ni kukopa...
Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it?
Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa...
Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio.
Mwanamke...
Hizi radi aisee ni balaa.
Nmeikaribisha weekend na mtoto mkali ila usiku ukawa mrefu mno kidogo tuache doggy tupige magoti kuanza kusali.
Yaani ngoma zinapigia dirishani hadi mashine ikasinyaa...
Moja kwa zote kwenye mada!! Kifo kisikie tu wakuu leo baada ya mvua na radi kubwa na nyingi niko zangu mtaan nimejibanza sehem nikisubili hali ipoe niende na mishe zangu
Sasa kilichofatia hapo ni...
Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha.
Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu...
Malawi haijawahi kupatwa na majanga makubwa ya kipindipindu na vimbunga ambavyo vinaleta maafa makubwa. Lakini jamaa alivyopelekwa tu kutuwakilisha vikatokea.
Sasa ni zamu ya Cuba wamepelekewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.